Ni vizuri ukasoma mpaka mwisho ukaelewa kabla ya kutoa mawazo yako ya Kihaya.Acha uongo wew.seminari ya kwanza nchini ilifunguliwa mwaka 1903 huko bukoba inaitwa Rubya seminary na ndo imetoa mapadre wa kwanza nchini,maaskofu wa kwanza pamoja na kardinali wa kwanza mweusi duniani Kardinali Rugambwa.
Hizo seminary za juzi tu Wala sio za 1800s
Ni wapi kasema uongo?