Mko wapi mliodai maendeleo ya watu?; Rais Samia kayaleta

Anna Nkya

Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
69
Reaction score
341
Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2020, CHADEMA walikuwa wakilalama kwamba nchi yetu inajali maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu.

Wakawa wanaishambulia miradi kama ule wa Rufiji, SGR, Fly Overs na mingine.

CCM kama chama tawala wakatetea miradi hiyo na kusema hivyo vitu ni kwa ajili ya watu.

Kwa kuangalia waliyokuwa wanadai sana CHADEMA, naona sasa yanatekelezwa. Rais Samia analeta maendeleo ya watu na vitu kwa wakati mmoja.

Vituo vya afaya vilivyojengwa vikaitwa maendeleo ya vitu (Kwa maana ya Majengo0, sasa vinawekewa dawa. Rais Samia kanunu magari ya kisasa ya wagonjwa, zaidi ya 375 na hayo magari yatahudumia watu kwa viwango stahiki.

Muswada wa Bima ya afya kwa wote utakuwa tayari soon : sio maendeleo ya watu?

Rais Samia ametilia mkazo sana kumaliza kero ya maji (Anasema anamtua Mama ndoo kichwani), haya sio maendeleo ya watu?

Watumishi wapanda madaraja, ndani ya kipindi kifupi ametoa vibali vingi vya ajira.

Mko wapi mbona siwaoni mkisifia maendeleo ya watu?
 
Mama kama mama anasema KAZI IENDELEE
 
Maendeleo unajitafutia mwenyewe, ukisubiri dawa za serikali utakufa ukijiona. Kata bima ya level yako ya maisha achana na bima za kizembe…
 
Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2020, CHADEMA walikuwa wakilalama kwamba nchi yetu inajali maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu.

Wakawa wanaishambulia miradi kama ule wa Rufiji, SGR, Fly Overs na mingine.

CCM kama chama tawala wakatetea miradi hiyo na kusema hivyo vitu ni kwa ajili ya watu.

Kwa kuangalia waliyokuwa wanadai sana CHADEMA, naona sasa yanatekelezwa. Rais Samia analeta maendeleo ya watu na vitu kwa wakati mmoja.

Vituo vya afaya vilivyojengwa vikaitwa maendeleo ya vitu (Kwa maana ya Majengo0, sasa vinawekewa dawa. Rais Samia kanunu magari ya kisasa ya wagonjwa, zaidi ya 375 na hayo magari yatahudumia watu kwa viwango stahiki.

Muswada wa Bima ya afya kwa wote utakuwa tayari soon : sio maendeleo ya watu?

Rais Samia ametilia mkazo sana kumaliza kero ya maji (Anasema anamtua Mama ndoo kichwani), haya sio maendeleo ya watu?

Watumishi wapanda madaraja, ndani ya kipindi kifupi ametoa vibali vingi vya ajira.

Mko wapi mbona siwaoni mkisifia maendeleo ya watu?
Acha kuvuta bangi.Miezi saba unaandika hivyo,ikifika mwaka utakuwa unavaa kilemba bila nguo nyingine.
 
Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2020, CHADEMA walikuwa wakilalama kwamba nchi yetu inajali maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu.

Wakawa wanaishambulia miradi kama ule wa Rufiji, SGR, Fly Overs na mingine.

CCM kama chama tawala wakatetea miradi hiyo na kusema hivyo vitu ni kwa ajili ya watu.

Kwa kuangalia waliyokuwa wanadai sana CHADEMA, naona sasa yanatekelezwa. Rais Samia analeta maendeleo ya watu na vitu kwa wakati mmoja.

Vituo vya afaya vilivyojengwa vikaitwa maendeleo ya vitu (Kwa maana ya Majengo0, sasa vinawekewa dawa. Rais Samia kanunu magari ya kisasa ya wagonjwa, zaidi ya 375 na hayo magari yatahudumia watu kwa viwango stahiki.

Muswada wa Bima ya afya kwa wote utakuwa tayari soon : sio maendeleo ya watu?

Rais Samia ametilia mkazo sana kumaliza kero ya maji (Anasema anamtua Mama ndoo kichwani), haya sio maendeleo ya watu?

Watumishi wapanda madaraja, ndani ya kipindi kifupi ametoa vibali vingi vya ajira.

Mko wapi mbona siwaoni mkisifia maendeleo ya watu?
Freeman Mbowe sio gaidi aachiwe!!!
 
Mama Samia amefanya mabadiliko makubwa kwa muda mfupi kiasi hata zile resistances toka kwa baadhi ya makundi ambayo hayakuwa yanaamini uwezo wake zimepungua.
 
Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2020, CHADEMA walikuwa wakilalama kwamba nchi yetu inajali maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu.

Wakawa wanaishambulia miradi kama ule wa Rufiji, SGR, Fly Overs na mingine.

CCM kama chama tawala wakatetea miradi hiyo na kusema hivyo vitu ni kwa ajili ya watu.

Kwa kuangalia waliyokuwa wanadai sana CHADEMA, naona sasa yanatekelezwa. Rais Samia analeta maendeleo ya watu na vitu kwa wakati mmoja.

Vituo vya afaya vilivyojengwa vikaitwa maendeleo ya vitu (Kwa maana ya Majengo0, sasa vinawekewa dawa. Rais Samia kanunu magari ya kisasa ya wagonjwa, zaidi ya 375 na hayo magari yatahudumia watu kwa viwango stahiki.

Muswada wa Bima ya afya kwa wote utakuwa tayari soon : sio maendeleo ya watu?

Rais Samia ametilia mkazo sana kumaliza kero ya maji (Anasema anamtua Mama ndoo kichwani), haya sio maendeleo ya watu?

Watumishi wapanda madaraja, ndani ya kipindi kifupi ametoa vibali vingi vya ajira.

Mko wapi mbona siwaoni mkisifia maendeleo ya watu?
Acha ujinga wako wewe! Maendeleo ya watu ndiyo aanzishe tozo kandamizi kwenye miamala ya simu na mafuta kwa kisingizio cha kujenga madarasa na zahanati?
 
Back
Top Bottom