Mko wapi Camp Mulla?

Abra One

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
916
374
Nimewamiss sana nyie jamaa mlikua mnanikosha sana, enzi zile

Hold it down
Look at me now
Party dont stop
Wakati wako
Fresh all day
If you believe me

Rudini tena basi, msiwape nafasi saut sol...
 
Nimewamiss sana nyie jamaa mlikua mnanikosha sana, enzi zile

Hold it down
Look at me now
Party dont stop
Wakati wako
Fresh all day
If you believe me

Rudini tena basi, msiwape nafasi saut sol...
The group broke up. New members joined.....Lost original flavour
 
Nimewamiss sana nyie jamaa mlikua mnanikosha sana, enzi zile

Hold it down
Look at me now
Party dont stop
Wakati wako
Fresh all day
If you believe me

Rudini tena basi, msiwape nafasi saut sol...
mkuu kuna hizi
Addictive
Feel no pain
All in
Price
Kare
 
Yaani sana bro, guys were good. Namkubali sana na yule dada sijui yuko wap sasa..
 
Camp Mulla hawakupata management nzuri,sasa wangekuwa kundi kubwa sana Africa
 
Back
Top Bottom