Mkitoka out na mwenzio, nani anastahili kulipa?

Mkitoka out na mwenzio, nani anastahili kulipa?

Joined
Sep 22, 2016
Posts
6
Reaction score
2
Habarini wakuu,

Kuna kitu huwa kinanitatiza sana,

Hivi mkiamua kutoka out na mwenzi wako halafu vitu vikaagizwa mfano chakula na vinywaji, bili ikitoka ni yupi anastahili kulipa?

Nawasilisha!
 
Habarini wakuu,

Kuna kitu huwa kinanitatiza sana,

Hivi mkiamua kutoka out na mwenzi wako halafu vitu vikaagizwa mfano chakula na vinywaji, bili ikitoka ni yupi anastahili kulipa?

Nawasilisha!
Ambaye bill ataisoma, huyo ndiye atakayelipa, mimi huwa Nampa mwenza wangu pesa ili na yeye bill ikija alipe, kama itakuwa kubwa Sana ataniambia nimuongezee, ila lazima naye ashiliki kulipa.
 
Kiutamaduni ni mwanaume... Kama vile mwanaume ndo anatakiwa kutongoza...
Ila sio mbaya mwanamke akamtoa out mwanaume.
Cha msingi ni nani kamtoa mwenzake out?
 
Ambaye bill ataisoma, huyo ndiye atakayelipa, mimi huwa Nampa mwenza wangu pesa ili na yeye bill ikija alipe, kama itakuwa kubwa Sana ataniambia nimuongezee, ila lazima naye ashiliki kulipa.
hahahahaaaaaaa haya bwanaaaa sawa ni wazo zuriiii
 
Kiutamaduni ni mwanaume... Kama vile mwanaume ndo anatakiwa kutongoza...
Ila sio mbaya mwanamke akamtoa out mwanaume.
Cha msingi ni nani kamtoa mwenzake out?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] sawaaaaa
 
Mwanaume ndiyo anastahili kulipa.
Km mezoeshana kulipiana hakuna shida mnaweza kushare cost au yy akalipa
 
Mmoja kat yenu. Me na Dem wang uwe 2napanga kabsa nan atalipia Chakula na nan atalipia Hotel.
Mwanamke anatakiwa kua na mchango ktk Mahusiono Co kula kulala 2
 
Mlipo plan kutoka mlikuwa hamjui nani atalipa? Kama ni first time mnatoka mwanaume akilipa bills inakuwa fine. Kama ni watu mmejuana looong time mnaweza mkachangia kulipa.
 
Yeyote anaweza kutoa cha msingi mpeane taarifa ila kiutamaduni mwanaume anapaswa kulipa na pia wakat mwingine mwanamke unaweza kumtoa mpenz wako out au mume na Bill ikawa juu ya mwanamke
 
Mwenye pesa ndio anatakiwa kulipa, japo inapendeza mwanamke akilipa bills
 
Habarini wakuu,

Kuna kitu huwa kinanitatiza sana,

Hivi mkiamua kutoka out na mwenzi wako halafu vitu vikaagizwa mfano chakula na vinywaji, bili ikitoka ni yupi anastahili kulipa?

Nawasilisha!
Hii kitu inategemea vitu vingi sana mfano kama mwenzi wako ni mzungu hapo mmechangia wote ila kama ni mmatumbi mwenzetu sahau hilo, ukifika muda wa kulipia lazima awe busy na simu.

Pia kama wote mmekutana wastaarabu inategemeana na nani aliyetoa wazo la kwenda out. Kikawaida aliyetoa wazo anatakiwa abebe mzigo wote. Ila tunarudi palepale kama una date na msichana wa kibongo hata kama wazo la kwenda out alitoa yeye wewe itakupasa ulipie kila kitu
 
Ni kama kupanda daladala na rafiki yako, atakaejitolea kulipa nauli basi alipe tu.
 
Back
Top Bottom