Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

Hii point ni nzuri ila inakujumlisha na mtoa mada.Muafrika ameishi na makabila mengi ya dunuani lakini ni MTU duni zaidi duniani,wapo Marekani,ulaya,asia, Australia,.Muafrika ameenea zehemu zote duniani kuliko race nyingine zote lakini ni duni duni duni si mchaga,muhaya,mkikuyu,mzuru nk.Waafrka kwa ujumla wao ni watu duni hakna kabila lilotajiri Afrika ila tunanyoosheaba vidole.
 
Mmh.. Hapa ulikuwa unatumia Google translate?
Jr[emoji769]
 
Mkuu andika kiswahili tuelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] naona watu wanatoa mapovu mara kaskazini tutaisoma namba mara watulie ila kitu ambacho hamkijui ni kwamba kaskazini hakuna mtu anayelalamika wala nn yani ukienda arusha watu wanapiga kazi na hali ikiwa ngumu wanalalamika kama wa tz wengine mbona na hata ukisema sa hv kila mtu kasoma ivo wachaga hawana nafasi aliyeeendelea ameendelea tu yani mtu akisha piga hatua mbili mbele huwezi kumkuta hata kama wote mkiwa na speed moja labda ww umkimbize na usijidanganye kwamba ukijengewe hospital ,mahakama au nn au kuwa na elimu ndio una speed , self exposure ndio ina determine speed yako ya maendeleo unajua unafaanyaa nn ,
na uelewa wako kimaendeleo siku zote unategemea jamii inayokuzunguka hio ndio itaku motivate uweje kadri unavokua haijalishi umesoma haujasoma alafu mnavosema kaskazini tumejipendelea for the record hakuna makamu wala raisi aliyetokea huko ukisema ma prime minister ni wawili watatu ndio walidumu lowasaa usimuhesabie alikaa miaka 2 na bado alichofanya kikubwa ni chuo cha udom ila bado mta muita mbaguzi sokoine usimuhesabie maana wote tunajua alipambania kombe la taifa hapo utabaki na msuya na sumaye kidogo hao unaweza sema walijipendelea ila n nn walikipendelea ambacho kimekufa ukiangalia jibu ni hakuna zaidi ya kwamba vimezidi kuendelezwa
huu ujinga wa kutokubali kuwa mwenzako yuko mbele yako ndio unasababisha tusiendelee wote kubali umepitwa afu anza mbio umshinde upendeleo wa serikali hautakaa utupeleke popote mpaka sisi wenyewe tujue tunafanya nn
mtu atakuuliza wachaga wana nn emu ka google wealth tribe in tz na EA utajua wana nn unaposhindana na kaskazini hususani wachaga lazima ujue unashindana karibia na tz nzima maana sehemu nyingi wachaga wamezishika hususani sekta za kiuchumi kwanzia maduka nk hata kama ukisoma sa hv afu bado sukari unanunua kwa mangi ujue tayari ushaachwa na elimu yako utaishia kutafuta kazi tu
ungekuta kupendelewa na gvt ndio kuna favour watu nahisi wazaramo walipaswa wawe matajiri zaidi africa maana kila kitu kinaanzia dar
siku zote asiyekubali kushindwa sio mshindani
mtu yoyote ambaye yuko kwenye mlolongo wa biashara anajua kabisa nani ni nani na biashara tunafanya kwa umoja bila kujali mchaga wala nani
mshana umeleta point ila watu wamewehuka tu nakuwaza ukabila japo pia umekosea usingesema kaskazini waokoe jahazi ungesema tu watanzania waokoe jahazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mshana umeleta point ila watu wamewehuka tu nakuwaza ukabila japo pia umekosea usingesema kaskazini waokoe jahazi ungesema tu watanzania waokoe jahazi
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji298][emoji298][emoji298][emoji298]
Jr[emoji769]
 
Kule Same tuliambiwa kinaanzishwa kiwanda cha tangawizi hadi leo ni historia,huko Kilimanjaro na Arusha ukiwa masikini unakuwa masikini kweli,mwishowe wanaishia kunywa mbege na kuuza bange,hakuna cha afadhali sijui eti mikoa ya kaskazini wananchi wake wapo njema ,ni baadhi tu wenye nafasi zao,kilimanjaro watu wanalala na ng;ombe kwenye vihamba vyao,na Upareni ndio usiseme,huko meru ndi kazi kutembeza karoti
 
[emoji15][emoji87][emoji15][emoji15][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
 
Dar ilikuwepo hata enzi za Nyerere. Nataka uniambie Bagamoyo kwake Msavu kafanya nini kama huyu anavyofanya chato. Umeorodhesha vya Msukuma/Msubi/Mhutu orodhesha na vya Mkwere
 
Bora Mji wa Kahama ungeendelezwa ningeona kweli ni kwa ajiri ya Kanda hiyo maana Kahama wa Ngara wanafika Kirahisi, Karagwe wanafika kirahisi
 
Tofauti ya mikakati ya kuinua watu.Watu wa kaskazini walikuwa na mikakati ya kimafia kama walivyo watu weupe kiasi kwamba kugundua ni vigumu.

Wakati hawa wengine wanafanya vitu kama viwanda majengo n.k,watu wa Kilimanjaro,walitengeneza nafasi nyingi za elimu kwa ajili ya watu wao.Mfano yuko jamaa yangu mmoja,walikwenda likizo fulani ya mwisho wa mwaka,kipindi kile tra ina inatarajiwa kuanzishwa,tajiri mmoja alitafuta kozi zinazohusiana na mambo ya kodi,nje ya nchi,aliandikisha wachaga zaidi 100,wakapewa masharti kubadili majina badala ya mfano Elihuruma Masawe,anaambiwa aandike jina la ubatizo la baba yake,na hivyo anakuwa mfano Elihuruma Joachim.

Waliandikishwa mikataba ya siri ili kulipiwa mafunzo hayo,kwa lengo la kuja kumrudishia tajiri huyo pindi wanapopata kazi.

Bahati nzuri line up ilipangwa kiintelijensia kuanzia kwa waziri wa fedha.Na kwa hiyo ilikuwa kila mradi wenye pesa za kutosha,utakuta mtu wa kaskazini,wilaya zenye hela mfano Kahama,ulikuta safu ya watu wa kaskazini kuanzia halmashauri hadi benki zinazotumika kupitisha malipo ya serikali.

Kama ningekuwa mimi,ndio napata bahati ya kuwa na nafasi ya kutoa maamuzi hivyo,kwetu ningewekeza kwenye elimu ya hali ya juu kabisa.
Na elimu ninayozungumza mimi siyo hii ya show off na div 1 nyingi zisizo na faida.
Ningewekeza kwenye teknolojia na mpira wa miguu kwa watoto wa umri kuanzia miaka minne.Huu ujinga wa kupotezea muda wanafunzi kwenye madarasa saba kisha manne halafu mawili ningeutupilia mbali.

Hao ndio wangejenga lami,mahoteli,na mabank hapo baadae




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana kwa kuona mbali mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia akili kufikiri kaka,ule ni mgongo tu wa kupitia,ila mtoa pesa ni serikali. Msikiti unaingiza watu 6k Chato kuna idadi hiyo ya waislam?

Ni kwa vile tu kanisa ni taasisi kubwa na usimamizi unatoka nje ungesikia parokia kubwa inajengwa Chato lakini haiwezekani
huo msikiti ulijengwa kwa fedha za umma?,msikitiki usiosafishwa ni kosa la jk?je kuna miradi mikubwa msoga?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chalinze Kwa mkuu bado hakukutendea haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…