Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

Hakuna kitu cha kushangaza kask, sijui viwanda wala nn watu maskin kama kwingine mlichobarikiwa wachaga ni roho ya kujikweza na misifa, tumeishi huko wilaya 3 za klm, gongo kama kawa, umaskin uleule kama wa maeneo mengi ya bongo kwa kifala tu, over
Naona unatokwa povu
Hujui kuwa kilimanjaro ni mkoa wa pili kwa watu wake kuwa na kipato kikubwa? Hujui kuwa kilimanjaro watu wake 90% Wana maisha Bora(kwa mujibu wa takwimu za serikali)
Ulishawahi sikia umeme wa REA kilimanjaro? Kule upo tangu enz na enz
Ulishawahi sikia shida ya maji kilimanjaro?
Ulishawahi ona watoto wa shule wanakalia mawe kilimanjaro?
Kilimanjaro Ni mkoa wa kwanza Tanzânia kuwa na shule nyingi licha ya kuwa ka mkoa kadogo
Kilimanjaro karibu kila wilaya ina hospital tatu vituo vya afya vingi
Tofauti na maeneo mengi ambayo hata hospital ya WILAYA hakuna
Kilimanjaro Hadi vijijin Kuna lami
Watu wa kilimanjaro wanapenda Sana maendeleo kule vunjo wananchi walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za jimbo hii kitu haijawahi TOkea popote Tanzania
Hebu ona mandhari ya vijin huko kilimanjaro ndio uone tofauti
Hakuna mkoa wowote TANZANIA unaofikia kilimanjaro kwa makazi Bora vijijin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hzo gorofa hata kwingine kwingi zipo acha ushamba, wadanganye ambao hawakujui. Tembea mikoa mingi uone mbona viwanda hakuna zaidi ya gongo? Tujumba huto umeona ndo klm tu au huajasoma shule mjomba? Kanda ya ziwa ni shida unajifanya hujui
 
Hzo gorofa hata kwingine kwingi zipo acha ushamba, wadanganye ambao hawakujui. Tembea mikoa mingi uone mbona viwanda hakuna zaidi ya gongo? Tujumba huto umeona ndo klm tu au huajasoma shule mjomba? Kanda ya ziwa ni shida unajifanya hujui
Eti Nini?
Hiyo mighorofa ulioiona ipo vijin ndani ndan sio mjini
Unasema hizo nyumba za kawaida ? Hahaha kule vijin kwenu maswa,bariadi ,solwa zipo?
Hebu nipostie hapa za vijijin kwenu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hzo gorofa hata kwingine kwingi zipo acha ushamba, wadanganye ambao hawakujui. Tembea mikoa mingi uone mbona viwanda hakuna zaidi ya gongo? Tujumba huto umeona ndo klm tu au huajasoma shule mjomba? Kanda ya ziwa ni shida unajifanya hujui
Nauliza kuna sehemu yoyote tz wananchi Wana uwezo wa kuchangia bilion 7 kukarabati barabara Kama walivyofanya wananchi wa vunjo?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Tanzania itajenga Hospitali ya Rufaa wilayani Chato Mkoa wa Geita.
Akiwasilisha taarifa yake kwa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii leo Jumatatu Januari 20, 2020, Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu amesema Serikali inatarajia kujenga hospitali hiyo kutokana na idadi kubwa ya watu kuwa eneo hilo.

“Tumefanya utafiti na kugundua kuna wagonjwa wengi Kanda ya Ziwa kwa hiyo tunajenga Zonal Hospital (hospitali ya Kanda) Chato,” amesema.
Amesema kuwa sababu ya kujenga hospitali hiyo Chato ni Mikoa ya kanda ya ziwa kuwa na watu zaidi milioni 15.

Baada ya Waziri Ummy kueleza hayo, baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo inayoongozwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CCM), Peter Serukamba walicheka.

Baadaye wajumbe wa kamati hiyo watapata fursa ya kuichangia na kama kutakuwa na maswali, mapendekezo watayatoa.

Chanzo: Mwananchi.

*NB: Kwa nini wamecheka?*

Jr[emoji769]
 
Nilikutegemea uorodheshe vitu alivyofanya kwao Mkwere kama ulivyofanya kwa huyu mkosa kabila mara Msukuma, mara Msubi, mara mhutu
 
[emoji44][emoji87][emoji44][emoji87][emoji44]
Nilikutegemea uorodheshe vitu alivyofanya kwao Mkwere kama ulivyofanya kwa huyu mkosa kabila mara Msukuma, mara Msubi, mara mhutu

Jr[emoji769]
 
Kuweka majengo mazuri ya mahakama ni ishara kuwa wahalifu ni wengi sana eneo husika, wangeweka mashule, mahospitali(ingawa nasikia itajengwa ya rufaa) ingawa pia uwezo wa ninadamu wa kule kumudu gharama za matibabu ni questionable.
Yatabaki magofu come 2030
Dah, haya mkuu yetu macho uliyosema yana ukweli wake. Jengo la mahakama wilaya ya Chato ni hatari kuliko mikoa mingi niyotembelea na hakika muendelezo wa hayo yote itakuwa ni changamoto kwani rasilimali watu haijaendelezwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikwete mnamuonea tu. Mimi ni mkazi wa chalinze lkn sijaona kikubwa alichojifanyia pale jimboni kwake zaidi ya kuweka zile chalinze bypass (msata-bagamoyo; Msoga-Msolwa)- kwa kiwango cha lami ambazo kimsingi zimesaidia kupunguza msongamano wa magari pale chalinze. Ameshindwa hata kuwajengea watu wake wa mji wa chalinze Hospitali ya maana, hadi leo kipo kizahanati. Maji waliweka mradi mdogo ambao mara kibao maji yanasumbua. Mzee Kikwete hakulipigania jimbo lake hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima kubalance story
Jr[emoji769]
 
Shinyanga iliuwawa pale mkapa alipoamua kuwapa migodi mabeberu,wasukuma wakageuka kuwa vibarua badala ya wamiliki.Shinyanga ilikuwa inaghala la chakula nmc sidhani kama kuna mkia ulikuwa ukifikia,hali ya hewa imebafirika mvua hazinyeshi, ng'ombe wamepungua,wasukuma wamehamia mikoa mingine kutafuta nyasi.Pamba kushuka being nk.Kahama bado kuna mvua,lango la Rwanda,inapokea vyakula kutoka kagera na kigoma, madini ni mengi.
 
Magu anaijen
Nilikutegemea uorodheshe vitu alivyofanya kwao Mkwere kama ulivyofanya kwa huyu mkosa kabila mara Msukuma, mara Msubi, mara mhutu
a zaidi pwani kuliko chato na sehemu singing vilify at is Dom.
Miradi ya Dar: upanuzi was bandari,flyove, tazaea na ubungo,Barbara ya koko beach,Barbara mpaka chalinze,stiglergorge,Hospitality ya makonda,SGR nk pwani miradi ni mikubwa mwanza labda meli mby meli.Dar ameipendelwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…