jonas kwigeza
Member
- Oct 12, 2016
- 96
- 134
Assuming kila container India a madini ya thamani ya 1.4 trilioni . Na Tanzania kwa mujibu Wa mikataba Wa mdini tuna mrahaba Wa 4% ina maana pesa yetu ni kidogo( bilioni 56) na wazungu wanabaki na matrilioni 1.35 . nadhani mikataba ndiyo msiba kwa taifa. Hats hivi kukamat makanikia ni hatua moja katika safari Ndefu. Ila safari Ndefu kwa sisi ambao tumezoea kupenda quick results kW kila kitu tutahimili mawimbi ya hawa jamaa tukiwa kitu kimoja nyuma ya mheshimiwa rais. ? Dhamira njema anayo kila JAMII yetu Haijazoea hustles za sanctions zinazotukabili mbele ya safari.