Kila mtu anahaki ya kutoa maoni yake. Kumpinga mtu kwa jambo fulani sio kumchukia. Kikubwa ni kuzingatia maslai ya Taifa.
Hao vijana watapambana na sisi raia. Mama asiwe na presha nao. Sisi ndio tutakua ngao yake Mama yetu kipenzi, yeye apige kazi tu.
Mama yetu ambaye toka ameshika madaraka hata hajamaliza mwezi mmoja ila raia tuna amani tele moyoni (Hajagawa hela barabarani, hajaongeza mishahara wala hajaajiri waalimu bado). Ila roho zetu zimepata utulivu na mapumziko.
Tutapambana nao kama tulivyo pambana na Marehemu Mzee Wao, mpaka akapata stroke. Ikibidi hata kuwakeketa bila ganzi tutawakeketa tu.
Hii nchi ilikua imeshaangamia, ilifika hatua kiongozi wa serikali anageuza kanisa kuwa sehemu ya kwenda kuwachamba waongoza ibada mbele ya waumini wao. Mpaka unajiuliza huyu amekwenda kufanya ibada au amekwenda kuwashushua Ma Askofu au kwenda kusambaza propaganda???
Sio kosa lako...!!! Mataga wengi wamechanganyikiwa hata baba wanaita vavaHoja mfu hii ;
Kwahiyo ID za 2016 na 2019 zilewekwa akiba kwa tukio la mwaka 2021 ambalo kiuhalisia alikua anafahamu Mungu pekee,
Tupumzisheni na hizi porojo.
Kubali tu umendika porojo.Sio kosa lako...!!!
Akifanya hivi atakuwa amezingua hasa!Sasa mama ndio Rais na mwenye mamlaka yote... Wakae watulie.. Kama anaifanyia kazi manifesto ya CHADEMA kwa asilimia 100 ni kwa faida ya wote... Mkizidi kumzingua ataivunja serikali aunde chama chake agombee upya ..ASHINDE KWA KISHINDO awazingue vizuri sasa.... !!!!
Na wewe ni mmojawapo? Maana hata ulichoandika hakiakisi mada husikaacha mikwara mbuzi wewe eti kuna watu wamepewa hela nyooka raia hawataki kuona tunarudi tulikotoka kwenye utawala wa upigaji wa enzi hizo wameshaonjeshwa utamu wa kujitegemea na matokeo chanya kuonekana kwa vitendo na siyo maneno
enzi za porojo ziliisha enzi za jk sasa hivi watu wanataka matokeo
raia wamekataa kurudi nyumaNa wewe ni mmojawapo? Maana hata ulichoandika hakiakisi mada husika
Wamejichimbia kwenye mablanketi,Mataga watataga wallah