Mkuu kuunda chama sio kitu rais kama unavyodhani.
kupata wafuasi sio lelemama. Kwa sasa wanaoongea positively kuhusu rais samia ni mijini, Simaanishi kuwa viijiji wanaongea vibaya ila hawana mzuka wa hawa wa mjini, rHuko vijijini bado watu wanajua sisiemu sasa uwaambie ishu za chama kingine hawakuelewi na sasa hivi kuna kitu kibaya kinajengeka inatakiwa rais ajitahidi sana kuku-negate, kuna kitu kinaanza itwa SUKUMA GANG, yawezekana wanaoita hivi wanamaanisha wachache ila wasukuma wao kwa ujumla wao (mwanza, shinyanga, tabora) wanachukulia hii ni wao wote....otaleta madhara. Imajin ifike mahali mikoa hiyo iwe na mentality mentality ya wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro kuhusu vyama itakuaje...
Tutake tusitake, ili ushinde urais kura za mikoa hii ni muhimu sana.