Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
- Thread starter
- #61
Mkuu mimi siongei maneno mareeeeefu!Watu kama ninyi ni walewale ambao wanapewa kofia, fulana na vilemba vya ccm wakati wa uchaguzi halafu wakaendelea katika shida miaka 5. Si ajabu wewe umeshapewa kofia na huyo fisadi wa Richmond. Hivi unaelewa kutokana na Richmond taifa linapoteza fedha kiasi gani kila mwezi? TRA wanakusanya kodi lakini karibu yote inaishia mkono wa Richmond mpaka serikali wasema imefiliska. Nyerere wa kweli hakutaka kumwona huyo fisadi wako. Alitaka kutuletea mvua ya chemikali ambayo ina madhara makubwa lakini Mungu mwenye kuona mbali akamtolea mbali na kwa hili hawezi kuwa Rais katika nchi hii. Nyerere funguka.
Naomba ushahidi wa ufisadi wake tu!