Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yericko Nyerere, Jun 5, 2012.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Chondechonde Kikwete achana na agenda hiyo ya UPOLE, inakiua chama chako na serikali yako,

  Ni karibu miezi 28 sasa, Edward Lowassa amekuwa agenda kuu ndani ya CCM na wanaccm wenyewe, si mwenyekiti wala mjumbe wote mioyo yao ni Lowasa tu, wengi wakitaka ajipambanue nakuwa nyota huru ya chama na wachache walio juu ya chama wakitaka kumpoteza gwiji huyu wa siasa za ukwasi na fitina msonge!

  Ikumbukwe kuwa doa kuu linalotajwa kuwa Lowasa ni fisadi ni Richmond, lakini nani asiyejua richmond ni nani na ilikuwaje? Pale dodoma Lowasa ameweka wazi mbele ya Mwenyekiti kuwa hakuna kilichotendeka ambacho mwenyekiti hakukijua ama kumtuma! Narudia tena UCHAFU wa LOWASSA ni RICHMOND tu!

  Nauliza tena RICHMOND ni nani? Mwenyekiti alijibu nini siku ile pale Dodoma wakati Lowassa anamhoji zaidi ya kuinamisha kichwa chini hali iliyopelekea BWM kumtuliza Lowasa?

  Sasa Lowassa anakitaka Chama na anatakka agombee urais 2015 na ameshashinda ndani ya Chama na nusu uwanja nje ya chama, shime ccm, ili muendelee kuitwa chama cha siasa japo mtakuwa wapinzani zuieni jaribio la mwenyekiti wenu la kujaribu kumzika Lowassa angali amekibeba chama!

  Kuna juhudi za kitoto ndani ya ccm eti wapo kwenye harakati za kumuuandaa January Makamba kugombea Urais 2015, wanatumia raslimali za nchi kujijenga kisiasa kwa upinde wa mvua ya siasa!

  Chondechonde mwenyekiti wa ccm ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Amini Lowassa ndie chaguo la wanaccm wote hata hao wanaojifanya wapo na wewe mioyo yao ipo kwa Lowassa! Wanakula na kunywa kwa mgongo wa Lowassa!

  Mwenye USHAHIDI wa wazi juu ya UFISADI wa Lowassa aulete hapa, sio stori za kulishwa vijiweni kisha mnakuja hapa kupiga ngonjera ooho Lowasa fisadi, oooho sijui nini! Leteni utetezi hapa au mfikisheni mahakamani!

  Mimi nitampa kura yangu ikiwa atagombe japo hata shinda, lakini atakinusuru chama kufutika kabisa duniani!

  Rejao, zomba, Malaria Sugu msianze kuugua matumbo ya ghafla!

  EL2015
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe 100 % wakijaribu tuu kwisha habari zao Naomba Zomba alijue hilo
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Mhhh! Umeachia uso wako for jabs...zitaanza kumiminika soon or later
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kilasiku wanazunguka Mbuyu lakini hamna anayejaribu kuugusa na pia anauwezo wa kuzungumzia mahali popote na kuwakemea viongozi wote wa CCM mpaka Mkuu na wasimfanye chochote huyo ni mwamba Ndani ya CCM. jamaa akichukua form ya Urais ndani ya CCM lazima wafyate mkia wote
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  UVCCM ikiongozwa na mtoto wa kikwete walisema Rais 2015 hatatokea kaskazini... so lowasa kua mgombea itakua ishu watu wa pwani against watu wa kaskazini kazi kweli kweli...mimi sipendi ccm lakini lowasa akiwa mgombea anaweza kunifanya nikafikiria mara mbili mbili kura yangu nimpe nani
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Hahaa hawanajeuri ya kumkanya wala kunyoosha kidole juu ya Lowassa!
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  asimamishwe lowasa au lusinde,ccm chali come 2015
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Tatizo huyo Lowassa habebeki wala hasafishiki hata mkitumia nini.
   
 9. ALF

  ALF Senior Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Muda ukifika kila kitu kitajieleza chenyewe 2015 sio mbali.
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  CCM hawana Ubavu hawana ubavu wa kumnyooshea kidole lowassa wamabakia kumbilia kusema Zitto na CDM
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mbona ZOMBA Ritz Ribosome na Mafilili hawaingizi team kwenye hii thread wanasubiri za uchonganishi kati ya Zitto na CDM tumewashtukia
   
 12. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Guys are you ready for watching the left single round fight?

   
 13. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Nimesema kile ninachokiona na kukiamini!
   
 14. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #14
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Wanachungulia kwa mbali tu huku viroho vikiwadunda sana! Haahaaa waje hapa tuwafundishe siasa za maji taka!
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Yericko, kwanini watu wa leo tunaposhika madaraka tunajisahau sana? Tumepoteza uwezo wa kufikiri na kuona yaliyo mbele yetu kwa ufasaha?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mleta tread hii umeiharibu sana siku yangu ya leo, nitashinda na kichefuchefu na nitatapika kutwa nzima ya leo! Umerogwa na nani? Nani kakuroga? Tunakujulisha kuwa Lowassa inatosha! HATUMTAKIIIII, NI FISADI MKUBWAA.
   
 17. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  tehetehetehe mzeee ni nouma......ngoja nimwendee hewani
   
 18. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  R.I.P EL and never come up siku ya mwisho mwizi wewe ,gamba wewe
   
 19. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Wewe na nani hammtaki Lowasa? Lete ushahidi wa ufisadi wake hapa!

  We tapika tu sikununulii ndimu kwa mangi ng'ooo!
   
 20. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #20
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo nani atagombea urais kupitia ccm 2015?
   
Loading...