Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

Nimechoka na habati za Lowasa..tuache fate ichukue mkondo wake, tuwaachie pia wananchi.
 
Nilishawahi kupost thread kama hii siku za nyuma nikashambuliwa sana.. Nway sio ishu.

Swali kwa mleta thread (jibu kama ninavyouliza na si kunishambulia, japo kdogo natoka nje ya mada) hivi wewe ni CHADEMA au CCM?

Haahaaa mkuu we kuwa Shekhe Yahaya bwana!

Pigia mstari
 
alileta virusi vya richad from monduli vimemububuna na kumtafuna mwenyewe! nani asiyejua kuwa miziz ya ufisad ni ya kamati ya el
 
Nilikuwa nakushangaa mda wote kwenye thread yako kwa kile ulichokuwa unakiwakilisha, lakini niliposoma huu mstari ''Mimi nitampa kura yangu ikiwa atagombe japo hata shinda'' nikajua kumbe ingawa unaandika haya yote unaijua destinationa yake
 
Katika maelezo ya Lowasa ambayo ndio ufunguo halisi wa kufuta kashfa hiyo pale dodoma chini ya wajumbe wote wa NEC ya ccm, Lowassa alisema wazi kuwa Richmond ni nini na ni nani, hivyo kwa sasa hana mda wa kujibu hayo zaidi ya kuelekea magogoni tu!
aje kitaa afunguke watu wote waujue ukweli kama kweli yeye ni msafi
 
Haahaaa mkuu we kuwa Shekhe Yahaya bwana!

Pigia mstari

Hahahhah! Mkuu nimetabiri ulitaka kunishambulia, au cyo! Teh teh teh!

Nway, huwa nafatilia sana unachoandika, na najiridhisha kwa wewe ni Pro-CDM.. Sasa ukiwa kama mwanaCDM, hli swala la Lowasa huoni kama unampa publicty na credibility.. Mbinu ya kisiasa ambayo mimi naamini humpa mtu ushndi (hasa kwa nchi za kiafrika) ni mtu kuwa maarufu, na jina lake ku'ring bells masikioni mwa watu, hii haijalishi kama anajulikana kwa mazuri au mabaya..

Nilifanya uchunguzi binafsi mwaka 2010 maeneo ya huku niliko (kijijini) nikagundua wengi walimpigia kura Slaa au Kikwete si kwa sababu wanamjua yeye na sera zake bali ni jina lake limo maskioni mwa watu.. Sasa hli la Lowasa la kujaribu kumchafua au kumsafisha litaikosti CDM isipokuwa makini, tunafanya ajulikane zaidi kwa watu hata kama ni kwa ufisadi, na hii itapelekea watu kuanza kuhoji..”huyu mtu ufisadi wake ni nini, leteni ushahidi sio kumchafua” kama ilivyo sasa.. Matokeo yake sasa kama ufisadi wa Lowasa (unproven) ndio ilikuwa technical-political approach ya chama chetu CDM ktk kuwafanya watu waikatae CCM na Lowasa wake, na wajiunge nasi na kutusapoti, pia kum'discourage Lowasa asigombee urais au asiteuliwe na chama chake (jamaa anatisha) itakuwa imefeli, maana hakutakuwa na ushahidi wa moja kwa moja.. Lakini pia tutatengeneza makundi mawili miongoni mwetu, wanaokubali ufisadi wa Lowasa na wanaopinga kwa kusema anasingziwa..

Politics is a game of using any technique and strategy whether legal or immoral, with targets and mission to grab the rulling power..

So to remain at a more secured zone, enough is enough, let's quit the Lowasa storiez.. Remember we are the moving hand waited by hyena!
 
aje kitaa afunguke watu wote waujue ukweli kama kweli yeye ni msafi

Afunguke mara ngapi mkuu? Kila anapotokeza katika sura ya umma amekuwa akihubiri kuwa hakusiki na kuwataja wa husika!

Au unataka mpaka aseme mmiliki ni fulani na fulani?

Usipojua kusoma tutakusamehe lakini hata picha utashindwa kuielewa?
 
Mkuu mbumbumbu ondoa shaka, kimsingi ndani ya ccm, mwenyekiti yupo tayari CDM ibebe nchi ila sio Lowassa kuwa rais kupitia ccm,

Lowassa keshajua kuwa hali kwake ndani ya ccm upepo umegeuka baada ya kudhani jk yupo nae kumbe kamtosa!

Mkuu ccm hata isimamishe wagombea watatu haishindi!

Hata leo aamke mzee Nyerere pale Butiama kisha aambiwe agombee atakataa katakata kwa kuogopa aibu ya karne!
 
Lowasa sio fisadi, ndio atakuwa mgombea wa urais pekee kupitia mgamba. Hatutaki pingamizi,mwenye ushahidi kuwa ni fisadi athibitishe hapa. 2nampenda.
 
Watu kama ninyi ni walewale ambao wanapewa kofia, fulana na vilemba vya ccm wakati wa uchaguzi halafu wakaendelea katika shida miaka 5. Si ajabu wewe umeshapewa kofia na huyo fisadi wa Richmond. Hivi unaelewa kutokana na Richmond taifa linapoteza fedha kiasi gani kila mwezi? TRA wanakusanya kodi lakini karibu yote inaishia mkono wa Richmond mpaka serikali wasema imefiliska. Nyerere wa kweli hakutaka kumwona huyo fisadi wako. Alitaka kutuletea mvua ya chemikali ambayo ina madhara makubwa lakini Mungu mwenye kuona mbali akamtolea mbali na kwa hili hawezi kuwa Rais katika nchi hii. Nyerere funguka.
 
Back
Top Bottom