Mkiishi kwa miezi 6+=NDOA.

Mkiishi kwa miezi 6+=NDOA.

Avemaria asante mkuu, ngoja nitoe macho hapa. Nivea duh..yaani hiyo ni miezi mitatu tu.? Sasa wadada wa watu wanaoshinda magheton huko hii hawaioni!!.
 
Last edited by a moderator:
Umeelewa vizuri nilichokiandika hapo?
...
Ni sheria gani inasema mkiishi siku 90 usiku na mchana tayari ninyi ni mke na mume?
mimi nakuambia sababu ilitumika kwangu sasa kama hutaki acha sheria gani nenda kaulize wana sheria watakufafanulia
 
mimi nakuambia sababu ilitumika kwangu sasa kama hutaki acha sheria gani nenda kaulize wana sheria watakufafanulia

Mkuu usiwe mkali. Inawezekana kuna kifungu kingine kipya, labda tusaidie kwa kujua hicho kifungu tukipate wapi. Nimesoma hiyo presumption hata mimi sijaona hizo siku 90. Ila pia labda ina marekebisho maana hii ni ya 1971
 
mimi sio mwanasheria swala hilo liliamuliwa kisheria na sheria hiyo ndio ilitumika ukiniambia 1971 blablabla sijui mimi
 
presumption of marriage is 2 yrs na kuendelea, sio 6 months hizo ni hadithi za mtaani tu
 
mimi sio mwanasheria swala hilo liliamuliwa kisheria na sheria hiyo ndio ilitumika ukiniambia 1971 blablabla sijui mimi

Hahhahaaa. Inawezekana ulionewa, na ni wakati wako wa kukata rufaa. Hebu igoogle uone. Ningeweza ningekuforwadia hapa..ipo kwenye format ya adobe.
 
presumption of marriage is 2 yrs na kuendelea, sio 6 months hizo ni hadithi za mtaani tu

Ni kweli mkuu nimeona hiyo. Sasa hao wa miezi 6 na siku 90 labda kuna kind of exemption.!
 
Ni kweli mkuu nimeona hiyo. Sasa hao wa miezi 6 na siku 90 labda kuna kind of exemption.!
wanaita exception, kwamba kila gerneral rule inakua na exception , kwa hili sidhani maana si kanuni bali ni sheria yenyewe inasema hivyo kuwa ni two years na kuendelea na sijawahi kuona exception ya hilo, labda kuna wataalam zaidi wanisaidie
 
mimi sio mwanasheria swala hilo liliamuliwa kisheria na sheria hiyo ndio ilitumika ukiniambia 1971 blablabla sijui mimi

Sio sahihi mtu kutaja wadhfa wake hapa!!!
...
Try to find 'The Law Of Marriage Act, 1971' Cap Nö 5. Act of parliament.
...
This (Act of 1971) is mother law concern Marriage (in Tz)
There other laws of marriage that specify other matters. Others are statutory ie subsidiary, others are traditional and religions laws.
U can ask what is the issue?!!
Issue ni kwamba hizo nyengine zote zikipingana na hiyo Act ya 1971, The Act (1971) prevail!
...
Hiyo case iliyokutokea wewe, IS POSSIBLE FOR 100%!!!!!!!
Coz before bring the case to the Court, u ought to take some procedures! Eg: first u must send ur case to MARRIAGE RECONSOLIATION BODIES.
Due to the seriousness of the case, is possible to send ur case direct to the Courts! But the Courts before proceeding (Matrimonial proceeding) they try to solve the case in friendly manner (which is advetageous) rather than statutory laws so as to save the time and avoids the harshness of statutory laws! (sometimes)
Mahakama uwezo wa kufanya hivyo umepewa na hizo hizo Act!
...
Sorry! niko mbali na Act zangu kwa sasa! So sitaweza kukutajia Sections!!!!
...
Ni matumaini yangu kwamba umeelewa!
I like ur arguments!!
 
Back
Top Bottom