Wenyewe wanasema ukijaribu kujenga kijijini nyumba ya matofali na bati eti wanakuroga!😀
Sasa haya anayopitia hapo kwenye picha si mateso tena na kitambi chake cha bia kitimoto.Wenyewe wanasema ukijaribu kujenga kijijini nyumba ya matofali na bati eti wanakuroga!😀
Wanataka kijiji kizima kiwe na nyumba uniform. Tena unaeza kuta wazazi ndio wanakuzuia kujenga wakihofia kukupoteza mtoto wao
Ukweni kaporomosha ghorofa
Wenyewe wanasema ukijaribu kujenga kijijini nyumba ya matofali na bati eti wanakuroga!![]()
Wanataka kijiji kizima kiwe na nyumba uniform. Tena unaeza kuta wazazi ndio wanakuzuia kujenga wakihofia kukupoteza mtoto wao
Bibi yetu tumejuchanga wajukuu tumemjengea nyumba ya bati
Kahama kahamia nyumba ya Nyasi kwa mdogo wake anasema bati linampgia kelele mvua inaponyesha![]()