Alikuwepo mama mmoja mkibosho anaetembeza ndizi mbivu mjini Moshi jina lake Manka,sasa alipofika kwenye duka la Mhindi maongezi yakawa hivi, Manka:ngikumba Makundu sir(nauza ndizi bwana)huku akionyesha ishara ya vidole vitatu akimaanisha shiling mia tatu. Mhindi:toka hapa hata mke yangu iko makundu kuba kuliko hiyo yako. Hapa walishindwa kuelewana tu kumbe makundu ni ndizi kwa lugha ya kichagga