Gospel Preacher
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 233
- 263
Mkiona maaskofu wanawashauri na kuwakemea badala la kuchukua hatua na kutafakari makemeo na mashauri yao, na matamko ya Maaskofu hawa badala yake mnawajibu kwa vijembe vya mitandaoni na kwenya magazeti, basi jua kuwa anguko lipo karibu sana.
Ninaposema kuwa Maaskofu msiwachukulie watu wa kawaida haina maana kama wao sio watu ila tu, ni wanadamu ambao Mungu amewapa dhamana ya kutunza maelfu ya watu.
Hebu waza, maaskofu wa KKKT na Roman catholic chini yao wanaidadi gani ya makanisa na watu? Hapo toa akina Gwajima,kakobe,katunzi,mzee wa upako,gamanywa,mwingira,mwamposa,na wengine weeengi...
Kama wakihakikisha kuwa hawapewi heshima wala hakuna thamani ktk vitu wanavyoishauri serikali na nchi kwa ujumla ,nao wakaamua kufundisha na kuhubiri umuhimu wa kumchagua kiongozi na mabadiliko ya Nchi, wakatumia mwaka mzima wa 2019 kufundisha hayo na kuhimiza mabadiliko.JE? NINI KITATOKEA?
KUHUSU KUCHANGANYA DINI NA SIASA.
Dhana ya dini na siasa imeshika hatamu sana,lakini kitu ambacho watu hawakijui ni kwamba,huwezi kuvitenga vitu hivi yaani dini na siasa,kwasababu zilianza kuwa sambamba tangu karne ya 1, na ukifuatilia kuna baadhi ya dini ziliaza na wanaharakati na siasa, yaani kuna dini ambazo zipo direct na serikali.
Ili wainjilist tuhubiri injili inatupasa kuwa na amani na amani ni matunda ya siasa safi,na kama siasa ya nchi ikichafuka hakutakuwa na amani so hatutaweza kuhubiri injili, hivyo ni lazima tuhimize amani na siasa safi ya nchi.
Nawasilisha.
Gospel Preacher
The Gospel of Salvation.