Nimecheka hiki kiswahili halafu chaajabu wapo wameelewa na wamejibu. Nini maana ya MKEWE hahahahaaaaHabari waungwana
Ni tukio la ajabu sana kukutana na hii kauli ya mwanamke hasa mkewe kukwambia hahisi hisia kabisa kwako.
Labda waungwana tafsiri yake ninini kama umewahi kutana na hii kadhia?
Haaa! Kweli aisee nitamjibu sasaMkewe, geuza kwa mleta uzi
Habari waungwana
Ni tukio la ajabu sana kukutana na hii kauli ya mwanamke hasa mkewe kukwambia hahisi hisia kabisa kwako.
Labda waungwana tafsiri yake ninini kama umewahi kutana na hii kadhia?
Mfano mke wako, mbona tunashindwa kujiongeza
Msimsingizie pepo au ushetani sijui nini inawezekana huyo alishamtenda mkewe mpk amemtoka rohoni na moyoni ajiangalie kwanza huyo mwanaumeKama hana mchepuko basi itakuwa ana jini/pepo mahaba. Wakati mwingine waweza ona kama vile mkeo apigwa nje, kumbe tayari pepo/jini mahaba anamuandama bila ya nyinyi wanandoa kujua