Mkewe anapokwambia hana hisia na wewe anamaanisha nini?

Msimsingizie pepo au ushetani sijui nini inawezekana huyo alishamtenda mkewe mpk amemtoka rohoni na moyoni ajiangalie kwanza huyo mwanaume
Na ndio maana nimeweka "two alternatives" hapo nikasema "kama hana mchepuko basi ana jini mahaba" Kuchepuka mara nyingi kunasababishwa na kutokuelewana vyema kunakosababishwa na huko kutendwa ulikokuelezea wewe. Sasa mimi wapi nimekosea hapo? Au ulitaka mimi niandike maelezo mengi kama vile nimekuja kuandika barua hapo. Tena unikome
 
Pole sana...

Punguza gubu kwa mkeo... Kugombana gombana pasipo na tija, dharau, ubishi, kumkosoa pasipo sababu...

Mjali mkeo, muheshimu, mtunze vyema...

Atarudisha hisia...



Cc: mahondaw
 
Pole sana...

Punguza gubu kwa mkeo... Kugombana gombana pasipo na tija, dharau, ubishi, kumkosoa pasipo sababu...

Mjali mkeo, muheshimu, mtunze vyema...

Atarudisha hisia...



Cc: mahondaw


I think No more love hapooo though wanaishi tu as husband and wifee.
Mapenzi ni hisia
 
Itakuwa umefukuzwa kazi au kipato kimetetereka maana kipato huongeza hisia imethibitika kisayansi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom