miaka saba.....kitanda kimoja hawajafunga ndoano.......kazi ipo....mzazi mwenzio keshapata wa kumuogesha, pole zake. Ila kusaidiana ni wajibu wa wanandoano wote.....
miaka saba.....kitanda kimoja hawajafunga ndoano.......kazi ipo....mzazi mwenzio keshapata wa kumuogesha, pole zake. Ila kusaidiana ni wajibu wa wanandoano wote.....
Kusaidiana kupo pale inapobidi but sio kunipangia zamu ya kuosha vyombo,muraa nani kaoa mwenzake .
Sasa si amsadie kazi mkewe, wote wamerudi usiku kutoka kutafuta pesa kwanini yeye asimsaidie mkewe kazi?????
wanaume wengi wanaona aibu kuwasaidia wake zao kazi kisa tu ataonekana bushoke, lakini jamani mwanamke nae ni binadamu anachoka kama mwanaume, sasa sio kazi zote afanye tu mama wa watu. kibaya zaidi wanaume wengine hata kusaidia kumbembeleza mtoto hawawezi, mama anahangaika na kazi, huku mtoto analia, yeye baba anabadili tu station kwenye runinga, si vizuriiiiiii.
Halafu tukimuiteni ninyi ni jamii ya.....mnakuwa wakali!waachane tu aende aende loh vyombo siku nne vinanuka aende nasema aende sina ushauri