Mkesha wa Mwaka mpya: Maelfu wajitokeza kumuombea Rais na Tanzania kwa ujumla


mkuu unakurupuka!! umechekesha sana

unakiri Mungu yupo na anaweza kuwa na plan ya 4bn yrs....ila unatka wasiombe....

It is like this ..neno kuomba ni sawa na ibada

1.wanamsifu na kumtukuza Mungu
2.wanamshukuru Mungu
3.wanasafisha mioyo yao
4.wanaomba neema ya Mungu for 2018


by they way are you gay??
 


Wee ndio unachekesha sana...


Siamini kama kuna mungu au shetani or any abstract constructed being called whatever name that is..


Nimejibu kumuhusisha huyo "mungu" wake yeye anaeamini kua alishapanga kila kitu kuanzia kuumbwa kwa dunia according kwa vitabu vyao..(i wonder what kind of this clown god who authors books and hasnt released a documentary yet
)

Kama unataka tubishane kuhusu SALA kua ni wastage of time,useme that we can go at it...

your question shows your gay tendencies...do not bring them to somebody else....your gayness is irrelevant here
 
Ni wapumbavu na wajinga pekee ndio watakusanyika kumwombea huyo Magufuli,hivi mbona mnampamba sana kafanya nini cha maana hadi sasa kwa watanzania wa kawaida acheni unafiki
 
Uwanja wa Taifa Kwa waliopo huko Mh. Rais atawakilishwa na Mzalendo mwenzie Ndugu Paul Christian Makonda!
Ule mkesha wa kuliombea taifa haujaanza Leo umekuwepo kabla Na utaendelea kuwepo hata baada acheni kiki.
 
KWETU MAKANISA YOOOTE YAMEUNGANA KUFANYA kinyume
ACTION YA KWANZA WAMEOMBA MVUA INYESHE NA KWELI IMENYESHA SASA TUNAWASHA MOTOOOOOOO
 
Mleta maada amesababisha nikaichukue Rifle yangu na kuisafisha vumbi. stay warned ndugu mleta thread, ujinga wako kuhusu bashite na huyo pogba wenu, we're not interested
 
wewe ni mpuuzi kama huoni kazi anazofanya magufuli utakuwa mwendawazimu angalia maafuriko ya uwanja wa taifa
Nenda ukapumzike mzalendo, wajibu ulionao kwa taifa hili ni mkubwa sana. Wakipatikana watu wengine 9 kama wewe, tutazungukwa na viwanda hadi tukose mahala pa kujenga makazi.

Ushinzie mboa!
 
Habari bila picha ni sawa na bure
 
Uchapakazi wake na kujitolea kwake kupiga vita rushwa, fisadi na ukiritimba uliokithiri pamoja na kujitoa kwake kutetea tabaka....
Maombi yanamgusa Mungu hutanguliwa na toba ya kweli.
2 NYAKATI 7:14

*[[2Ch 7:14]] KJV* If my people, which are called by my name, shall humble themselves, and pray, and seek my face, and turn from their wicked ways; then will I hear from heaven, and will forgive their sin, and will heal their land.
 
Anatakiwa atubu hasipotubu hasira ya Mungu hike juu yake




 
Sio mzima ww!
 
hawa ndio wanatumwa na Bashite,nimeangalia hilo tukio lilikuwa Mubashara ITV,TBC1&2 ila hakukua na umati ningetegemea watu wangejaa mpka kwenye majukwaaa chakushangaza haata uwanja haukuwa nyomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…