cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 26,758
- 73,414
Dada Cocochannel nijipige vibao tena?
Vyuma vimekaza kote..
Kuanzia serikalini...vyuma vimekaza..
Kaserikali masikini,bajeti hovyo..ndogo mno...
Kenya's GDP is nearly twice our stupid GDP...what money this poor govt have?Vyuma vimewakazia pia,big time!
Kuhusu vyuma kukaza mama,ni kote!angoma droo!
Acha porojo jiongeze.. nyie ndio wakukimbiwa na watu kwa kuwa - maishani kisa yenu hayaendi.. si mara elfu mtu akae na mtu ambaye yupo + akijua atavuka alipo kama vyuma vinekaza.. maana sio kwa wote vinekaza.