Mkesha wa Mwaka mpya: Maelfu wajitokeza kumuombea Rais na Tanzania kwa ujumla

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
Uchapakazi wake na kujitolea kwake kupiga vita rushwa, fisadi na ukiritimba uliokithiri pamoja na kujitoa kwake kutetea tabaka lililosahaulika kwa miaka mingi tabaka la wanyonge ndiko kunafanya azidi kupendwa na watanzania tulio wengi licha ya kundi dogo lililokuwa la wanyang'anyi kufanya juu chini kutengeneza propaganda za kuuchafua utawala wake uliotukuka.

Inatia hamasa kuona ni jinsi gani watanzania walio wengi wakifurahishwa na utendaji wa Rais Dr John P. Magufuli pamoja Serikali yake.

Hii imedhihirika kwenye mkesha wa mwaka mpya ambapo maelfu ya raia Tanzania nzima wamejitokeza katika maeneo mbalimbali kuliombea taifa na M.h Rais ili mungu ampe nguvu na afya aweze kutimiza azma yake ya kutupeleka katika uchumi wa kati.
 
Wee mbona unakua muongo!

Sehemu gani hizo wamekusanyika kumuombea huyo rais wako asie na doa?

Zitaje hizo taasisi na maeneo,pia tuwekee video na picha wa hayo makusanyiko tuone kwa macho,uache kuandika paragraphs ndeefu ya kutunga

Uwanja wa Taifa Kwa waliopo huko Mh. Rais atawakilishwa na Mzalendo mwenzie Ndugu Paul Christian Makonda!
 
Kumbe ni sehemu moja tu...sawa,taasisi gani ndio inamuombea?

Na picha na video ziko wapi?

Idadi ya watu je?

Kuombewa is actually waste of time...praying is the most dumbest thing a sane human can do...Instead of wasting time trying to convince God to change his mind just for your selfish reasons,you better get out and actually do something to clear that problem you are praying for....

The concept of Praying is for stupid people...
 
Uchapakazi wake na kujitolea kwake kupiga vita rushwa, fisadi na ukiritimba uliokithiri pamoja na kujitoa kwake kutetea tabaka lililosahaulika kwa miaka mingi tabaka la wanyonge ndiko kunafanya azidi kupendwa na watanzania tulio wengi licha ya kundi dogo lililokuwa la wanyang'anyi kufanya juu chini kutengeneza propaganda za kuuchafua utawala wake uliotukuka.

Inatia hamasa kuona ni jinsi gani watanzania walio wengi wakifurahishwa na utendaji wa Rais Dr John P. Magufuli pamoja Serikali yake.

Hii imedhihirika kwenye mkesha wa mwaka mpya ambapo maelfu ya raia Tanzania nzima wamejitokeza katika maeneo mbalimbali kuliombea taifa na M.h Rais ili mungu ampe nguvu na afya aweze kutimiza azma yake ya kutupeleka katika uchumi wa kati.
akatubu tu. wassap iko down woga wa watumishi kama kakobe
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Uchapakazi wake na kujitolea kwake kupiga vita rushwa, fisadi na ukiritimba uliokithiri pamoja na kujitoa kwake kutetea tabaka lililosahaulika kwa miaka mingi tabaka la wanyonge ndiko kunafanya azidi kupendwa na watanzania tulio wengi licha ya kundi dogo lililokuwa la wanyang'anyi kufanya juu chini kutengeneza propaganda za kuuchafua utawala wake uliotukuka.

Inatia hamasa kuona ni jinsi gani watanzania walio wengi wakifurahishwa na utendaji wa Rais Dr John P. Magufuli pamoja Serikali yake.

Hii imedhihirika kwenye mkesha wa mwaka mpya ambapo maelfu ya raia Tanzania nzima wamejitokeza katika maeneo mbalimbali kuliombea taifa na M.h Rais ili mungu ampe nguvu na afya aweze kutimiza azma yake ya kutupeleka katika uchumi wa kati.
Sio kweli kabisa,
 
Utafungwa kwa kuongea uwongo usicheze na taasisi ya uraisi Sifa za kijinga zitakuponza
 
Back
Top Bottom