Kuna tofauti sana kati ya njia unayo pita peke yako kila siku,na njia
waliyo pita watu 20 kwa mda flani.
Bado hivi vitu havitegemeani kabisa mkuu wangu nakwambia!
Haya mapenzi yana mikasa yake utacheka na kupasuka mbavu....
Kikubwa ni kuishi kwa amani tu na vile inavyokupendeza, hayo mengine unayakuta na kupambana nayo kama inavyokupendeza vilevile!
Duh,naomba nipate hekima kama yako.
Lakini imani yangu bado ni kwamba unalo tenda una tendewa pia kwa upande mwingene.
Mwanamke unayemchezea leo, ndio mke wa mwenzako kesho!!!!
Je?? Unamjua mke wako wa kesho anafanywa nini leo??
Hahaaaaaaa.........na wewe wapewa maujuzi na maikspiriensi
siku mkikuttana full equiped na silaha za maangamizi..........
Wanajua!
Lakini imani yangu bado ni kwamba unalo tenda una tendewa pia kwa upande mwingene.
Walk and see bro...walk and see!!!!:bathbaby:
Thread is closed........
Ngoja mimi na wewe tuifungue hiyo zipu iliyotumika kuifunga hakafu ikibakiwa ndo tuendelezeThread is closed........
Mwanamke unaemchezea leo ndio mke wa mwenzio wa kesho, na jee unajuwa mke wako wa kesho leo wanamfanya nini?
Mwanamke unaemchezea leo ndio mke wa mwenzio wa kesho, na jee unajuwa mke wako wa kesho leo wanamfanya nini?
Big like
weye ushawahi kuchezea au kuchezewa?