WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Na hili ndilo linawatatiza wengi na kuwatia hofu ya bure.Tatizo la msingi ni UDUNI wa huduma za afya.
Swali kubwa linakuwa: je nikipimaVVU na nikaonekana +ve what is the way forward?
Majibu tunayopewa na washauri nasaha hayatoshelezi kujibu swali hilo!
MJ1 na mimi nawataka hasa wao waje watuambie........Hii mada dada mh ngoja waje wenyewe.
Mimi ningependa kujua mbinu za kuwashawishi kwenda kucheck afya zao.
Tatizo la msingi ni UDUNI wa huduma za afya.
Swali kubwa linakuwa: je nikipimaVVU na nikaonekana +ve what is the way forward?
Majibu tunayopewa na washauri nasaha hayatoshelezi kujibu swali hilo!
MJ1 na mimi nawataka hasa wao waje watuambie........
haya mambo wengine hatuyapendi kabisaaaaaaaaaa ukisha pima ukijua itakusaidia nn?
Mimi nikapime? Labda mnibebe kwa greda la Konoike nikiwa nimefungwa pingu za Jerry Muro Miguuni na mikononi!MJ1 na mimi nawataka hasa wao waje watuambie........
On A SERIOUS NOTE....Mimi nikapime? Labda mnibebe kwa greda la Konoike nikiwa nimefungwa pingu za Jerry Muro Miguuni na mikononi!
Mimi nikapime? Labda mnibebe kwa greda la Konoike nikiwa nimefungwa pingu za Jerry Muro Miguuni na mikononi!
On A SERIOUS NOTE....
Chris na Fidel...
hivi mnaogopa nini hasa?
kama mu waoga hivyo kwanini bado kamchezo hamuachi?
Woga huu ungeelekezwa katika ku abstain hamuoni tungepunguza kiwango cha maambukizi na Tanzania bila UKIMWI ingewezekana?
Dah!!! braza hii ni kali tena uwoga wa nini wote huo?Mimi nikapime? Labda mnibebe kwa greda la Konoike nikiwa nimefungwa pingu za Jerry Muro Miguuni na mikononi!
Mi kwakweli kama waifu ana mashaka akapime yeye.
Kamchezo hako tunakacheza salama mama, ila huwezi jua manake kuna njia nyingi za kuupata huu ugonjwa! Sasa dah! no comment!
utaishi kwa matumaini
Mimi nikapime? Labda mnibebe kwa greda la Konoike nikiwa nimefungwa pingu za Jerry Muro Miguuni na mikononi!
On A SERIOUS NOTE....
Chris na Fidel...
hivi mnaogopa nini hasa??
Ama kweli akilini kichwani! Nimeamini.dada wos, kupima ni biashara ya wazungu. waafrika tangu zamanimpaka leo tunaishi na ukimwi mwilini mwetu na hatuna shida, ukiacha ukimwi wa HIV, ukimwi wa utapiamlo na uchafu wa mazingira ni hatari zaidi. hivyo mi naunga mkono kupima kama ni sehemu ya tiba, aimeen kama itathibitika beyond reasonable doubt kuwa bila kupima hali itakuwa mbaya sana kisaikolijia.
on top of that, kuishi na nyoka ndani bila kujua kuwa yuko ndani, ni bpora mara elfu kuliko kujua kuwa yuko ndani lakini ukashindwa kumfukuza/kumuua, nadhani hata kusinzia huwezi. now you know why we don like hayo mambo ya angaza.
Nitaishije kwa matumaini wkt naendelea kuishi navyo jua mm.
Hahahaha mm siwezi kwenda kupima hata kwa pingu sioni kabisa umuhimu wa kupima .
Mi naogopa kufa kwa kiholo tu maana ukijua ndo unajipunguzia siku hata kama mzima.