Mkeo kununanuna

Mkeo kununanuna

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,318
Wanajamvi,hivi mkeo Ana kazi mzuri mshahara zaidi ya milioni,marupurupu kibao.wewe mume unabahatisha kipato,Nyumba yenu kicheko ni Mara chache sana zaidi ya kununa kwa mama muda mwingi,kila mkitofautiana anasema nipe kilicho changu niende kwetu,Nyumba haina raha.utafanyaje?
 
Back
Top Bottom