The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
Eti eheeee!!!What a thinkingHakuna tatizo,
kwani ex ni adui???
haupaswi kuongea naye hata maongeza ya kawaida,ikiwa wote bado mpo hai na mpo duniani?,
amejaribu kufuatilia na kugundua kuwa wanaongea mabaya???,
Apunguze kutojiamini, HUYO NI WAKE NA YEYE NDIYE MSHINDI huyo wa kwenye facebook alikuwa ni mshiriki mwenzake tu ktk mashindano ya mapenzi,madamu yeye kashinda basi atulie tuliii aufurahie tu ushindi wake, apunguze au aache wasiwasi wa mapenzi....
Mkuu hata wabishe vipi FACEBOOK inabikia kuwa mtandao ambao umevunja ndoa nyingi za watu.
Halafu ukishaoa ya nini kufatilia sana mkeo?????mimi sijui hata nani yupo kwenye facebook yake,kama humwamini kwa nini ulichukua jumla?acheni mambo ya kizamani
Nimekuwa observer kwa hii thread, hakika nimeona michango yenu yenye haja. Lakini swali langu kwa hawa wanaodai facebook kuwa chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika, kwanza je takwimu hizo zipo?.....tupeni
Halafu ukishaoa ya nini kufatilia sana mkeo?????mimi sijui hata nani yupo kwenye facebook yake,kama humwamini kwa nini ulichukua jumla?acheni mambo ya kizamani
Nyie ndo mnaoliwa wake zenu nyie. Endelea tu kumwamini 100%...tena ongeza imani yako kwake.
Aka mume aso na wivu simtaki! Kama huna wivu maanake hujapenda full stop. Mimi lazima nijue mume wangu ka mu add nani kwenye face book na wana uhusiano gani. Ex hawana nafasi (at least ya wazi) kwenye maisha yetu!
Kwishney, watu wanachakachua!!!!!!!!Halafu ukishaoa ya nini kufatilia sana mkeo?????mimi sijui hata nani yupo kwenye facebook yake,kama humwamini kwa nini ulichukua jumla?acheni mambo ya kizamani
Bora uendelee hivyo hivyo kutokujua kwani siku UKIJUA utazimia!
Na siku uatapomkuta mkeo anampa kiss ex wake ndo utajua kutofautisha mabo ya kizamani na ya kileo.
Nimekuwa observer kwa hii thread, hakika nimeona michango yenu yenye haja. Lakini swali langu kwa hawa wanaodai facebook kuwa chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika, kwanza je takwimu hizo zipo?.....tupeni, pili facebook yenyewe kama social networking, ina specialty ipi, kuliko zingine mambazo zilikuwepo na watu walifanya social networking kwa muda mrefu tu, mbona hayo hatukuyasikia. Bado sielewi vizuri hapa. Kuwepo kwa facebook, au kutokuwepo bado watu wameweza kuwasiliana tu, na kama nia ipo ya kumpata ex, hata kama angekuwa wapi still ungeweza kumpata. Na je, kwa mtazamo huo, ina maana wale exes ambao hawana hata account ya hiyo facebook, hawawezi kupata, au kuwasiliana. Naomba mnijuze waungwana.
NN thumbs up nimeipitia hii doc.Haya jisomee mwenyewe: Facebook blamed for 1 in 5 divorces in the US | ZDNet
Umeona mkuu...mnh,....ngoma ilianzia friends reunited, Hi5 na where are you now (wayn)bana!
ila kiukweli FB ni noma! maana likes na comments mnazotumiana zi hadharani!
Mbaya zaidi ni pale unapokuta mwenzio ka upload 'sexy' images halafu wewe mume mtu ni mmoja
wa alio wa limit access ya kuziangalia! he he he...mapenzi ni vituko sana.
Umeona mkuu