Mkeo ameanzisha urafiki na Ex-boy friend wake wa kwanza

Duh,kwani mwanamke akishaolewa anapaswa kuwa na uadui na wapenzi wake wa nyuma?wapi imeandikwa ni dhambi au kosa? Urafiki wa facebook una shida gani? mwambie ajue kwanza kinachoendelea ndo atake ushauri.....ku wapi kuaminiana kwa wanandoa siku hizi? yaani kuna kuviziana....ni haki yake kuwa na urafiki na yeyote as long as hauhatarishi ndoa na familia!!:rant:
Hi dia...
 
Nafikiri wanandoa leo hii ukiwauliza experience ya FACEBOOK ni asilimia kubwa watakupa negative impact i can bet my 50cents on that one

Waambie hao mazee. Kuna watu wanabisha ili mradi tu wakati mambo yako dhahiri kabisa. Na takwimu hazidanganyi.Asilimia ya watu wanaotalikiana na kuachana kwa sababu ya Facebook inazidi kuongezeka. Huo ndo ukweli wenyewe licha ya spin ambazo watu wataleta.

Halafu huko Facebook kuna drama za kufa mtu. Na mtu kweli kama mwenza wako amekutana na ex wake huko halafu wanaanzisha urafiki, uwezekano wa huo urafiki wao kukunyima raha ni mkubwa sana.
 
Kwa wale ambao tumekuwepo zaidi ya decade nne sasa - Mwanamke ambaye ulishawahi kuwa na mahusiano naye ya kimapenzi mnapokutana huwa hamna haja ya kutongoza - Mkifanya maamuzi you will still do it with impunity - And especially kama mahusiano yenu ya sasa yana shaka shaka!

Kwahiyo in either case - Exs - ni nusu-halali nusu-haramu!

Sikukuu Njema - Kumbuka kuwatumia salamu wenzi wenu wa zamani - After all ...shiiiiiiiiiiii
 
Waambie hao mazee. Kuna watu wanabisha ili mradi tu wakati mambo yako dhahiri kabisa. Na takwimu hazidanganyi.Asilimia ya watu wanaotalikiana na kuachana kwa sababu ya Facebook inazidi kuongezeka. Huo ndo ukweli wenyewe licha ya spin ambazo watu wataleta.

Halafu huko Facebook kuna drama za kufa mtu. Na mtu kweli kama mwenza wako amekutana na ex wake huko halafu wanaanzisha urafiki, uwezekano wa huo urafiki wao kukunyima raha ni mkubwa sana.
Mkuu hata wabishe vipi FACEBOOK inabikia kuwa mtandao ambao umevunja ndoa nyingi za watu.
 
hivi kwani ukiolewa ndio hutakiwi kuwa na urafiki na marafiki zako wa zamani???????

kwani huyo rafiki yako kahisi kitu gani???????? ina maana mkewe angeamua kuchunguza simu yake ya mkononi asingekuta no za ma baa medi au ma bibi zake wa zamani?????

inamaana kama huyo mkewe wamekosa mawasiliano mengine kama kweli wameamua kurudia relation yao mpaka facebook?????????

najiuliza maswali mengi sipati jibu!!!

Mmmmh,mnavo tetea sasa,kama ume jifungia kwenye chumba cha moshi vile!
Kwanini muwasiliane kwanza kiasi cha kutiliwa mashaka?
una nini ulicho sahau kwake?
 
Nafikiri wanandoa leo hii ukiwauliza experience ya FACEBOOK ni asilimia kubwa watakupa negative impact i can bet my 50cents on that one

Mkuu you hinted a point! Facebook inabomoa sana si ndoa tu hata vijana!!! Watu wengine wako facebook not for social networking but kibiashara zaidi!!! Facebook, facebook!!! Tuitumie kwa makini. Mimi na bet 95 cents on that!!!
 
Maane ni asilimia chache sana ya watu ambao wanatumia facebook kwa ajili ya biashara waliobakia wengi wao ni hook-ups huyu jamaa after sometime ategemee kupata matokeo yeyote kutoka kwa wife wake na huyo ex wake
 
Chunguza nature ya mahusiano yao kwenye facebook. Hebu muujiulize, wewe ungeanzisha urafiki na mawasiliano ya GF wako wa zamani yeye angefanyaje? Muulize kwa ustaarabu akwambie nini kinachoendelea.
 
facebook utapeli tu najua kuna watu atanishambulia lakini alwaiz ile kitu imejaa uhuni tu na utoto mwiiingi...ni pahala pa kienyeji sana...mi nikiwa na mke wangu marufuku kuwasiliana na EXs i will also obey this rule No one....mana utani utaanza ooh unakumbuka siku ile mara pwaa kumbushia!!!
 
watu huwa hawaachani hata siku moja...sikilizia watapeana mechi za mchangani siku moja na kumbuka wewe ndio uliingilia kati.
 
Hakuna tatizo,
kwani ex ni adui???
haupaswi kuongea naye hata maongeza ya kawaida,ikiwa wote bado mpo hai na mpo duniani?,
amejaribu kufuatilia na kugundua kuwa wanaongea mabaya???,

Apunguze kutojiamini, HUYO NI WAKE NA YEYE NDIYE MSHINDI huyo wa kwenye facebook alikuwa ni mshiriki mwenzake tu ktk mashindano ya mapenzi,madamu yeye kashinda basi atulie tuliii aufurahie tu ushindi wake, apunguze au aache wasiwasi wa mapenzi....
 
Back
Top Bottom