Mkeo akivaa hivi ni sawa?

Ni SAWA.

Ila ni kwa kipindi kifupi ambacho nitakua nashughulikia taraka yake mahakamani...kwai wakati anasubiri anaweza kuvaa.
 
Pesa Uchawi wa kizungu hakuna anayeweza kuruka huo Uchawi.
 
Kwa mke Sio kumruhusu kuvaa tu hata hayo mawazo ya kuvaa hivyo hapaswi kuwa nayo hata kabla ya mie kumkataza kwakua anajua moto

Mpenzi sasa hawa ndo mahawara sijui wanavaa tu mbona huko mtaani tunasuuza rungu na kunywa bia kitimoto sio wa kuweka nyumbani kulea watoto
 
Unacheza na mwanamke? Wee mbanembane kwenye namna ya kuvaa, siku moja utakutana naye kwa Mtogole gesti bubu, wewe una mchepuko yeye ana kiben ten kavaa Kama mdogo wa jini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti kavaa kama mdogo wa jini
 
Anavaa yeye kama kitu moyo wake umeridhia na una amani

mimi n nani ku disturb furaha na amani ya mpenzi/mke wangu?
Wewe ni kichwa cha familia,na watoto wakiiga kwako ni sawa tu?
 
Unacheza na mwanamke? Wee mbanembane kwenye namna ya kuvaa, siku moja utakutana naye kwa Mtogole gesti bubu, wewe una mchepuko yeye ana kiben ten kavaa Kama mdogo wa jini
Kubanwa lazima huwezi kumwacha huru afanye atakavyo,kumbuka huyo ni image yako popote anapoenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…