Mkeo akivaa hivi ni sawa?

Mkuu, unazingumzia mke au mjasiliamali anatangaza bidhaa?
Au labda mimi sijaiona vema hiyo picha.
 
Mpenzi sawa ila Mke hapana.
Hata mimi kwangu hapati hiyo nafasi,lakini sishangai ninafanya kazi na wake za watu mapaja yako nje mpaka unajiuliza mwenye mke hayupo!Sijui wanaume wengine huwa wanafikiriaga nini,hivi huoni kuwa unamuingiza mkeo sokoni bila kujielewa au unafikiri unawakomesha,kumbuka in your absence wanaume wanafuatilia mkeo at any cost,na tuache kujidanganya kuwa wanawake wengi ni wagumu hivyo tunavyodhania mbele ya pesa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…