Hatujapigana bado bt tuko mbioni
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nilikuwa naongea na jamaa mmoja Mkenya, kama kawaida mambo ya siasa yakaanza na Uchaguzi, jamaa akaniuliza ''It seems you people you know alot about Kenyan politics, how come i dont know anything about Tanzanian politics?'' nikakosa jibu, sijui wewe ungemjibu vipi yule jamaa?
Nilikuwa naongea na jamaa mmoja Mkenya, kama kawaida mambo ya siasa yakaanza na Uchaguzi, jamaa akaniuliza ''It seems you people you know alot about Kenyan politics, how come i dont know anything about Tanzanian politics?'' nikakosa jibu, sijui wewe ungemjibu vipi yule jamaa?
Alichomaanisha ni kwamba, inakuwaje Watanzania wanajua sana na kufwatilia siasa za Kenya, wakati yeye hata ukimuuliza Waziri Mkuu wa Tz hamjui, au hata ukimuuliza ni lini kuna Uchaguzi TZ hajui? hapo ndipo nikakosa jibu la kumpa!
Kama kawaida yetu..nawe ungemuuliza mbona wafaransa,wajeruman,waamerika,waiingerza and co...hawajui siasa za kenya lakin wakenya wanajua sana kinachoendelea huko......
Nb:ni jibu la kuji..ratedown_ila ndio ukweli wenyewe ingawa ni ngumu kumesa kiongosi....lo!
Hapana sisi Watanzania no tofauti na Kenya au nchi nyingi za africa mashariki, neseme labda vyote vya habari vinaandika habari za kenya na wa kenya hawaandiki za kwetu. Lakini ukifuatilia radio BBC na Ujerumani utaona Watanzania wanatuma sms na kupiga simu sana. Jibu kamili linahitaji utafiti.
Hilo swali nisingeweza kumuuliza kwa maana jibu lake liko wazi Marekani ni Taifa kubwa na ndio maana wanajua mambo yake, sasa kwani nao Kenya ni taifa kubwa kama Marekani mpaka itufanye tusilale kutwa kujadili siasa zao, nafikiri ndio hicho kilichomshangaza?
Mi nadhani ungefunguka tu kuwa,yeye huenda hajaona cha kujifunza ama kuchukua kutoka tanzania.Hivyo hakuna cha kumrazimisha kuijua.lakini ninavyomjua mkenya anajiona yuko juu africa mashariki.huo ndio ukweli.:A S 39: