Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,777
- 126,724
Labda anajua ''enzymes" maana ni level nyingine aseeeMkemia asiyejua maana ya dhana za "catalyst" wala "quantitative analysis" katika uchumina siasa nchini.
Labda anajua ''enzymes" maana ni level nyingine aseeeMkemia asiyejua maana ya dhana za "catalyst" wala "quantitative analysis" katika uchumina siasa nchini.
Level nyingine kwa upumbavu.Labda anajua ''enzymes" maana ni level nyingine aseee
Flame test ya mkojo ni ipi mkuu, nataka nipime mwenyewe kabisa kabla sijafika kwa mkemia maana atanilisha matango poriYupo awamu ya kwanza na wala huko kwenye quantitative hajafika, yupo kwenye volumetric na tena wala hajaanza kutumia double indicator , sasa hivi anatumia P.O.P pekee watu wanalialia subiri aanze kutumia double indicator na kuanza flame test ndio utamjua mkemia ni nani
Exactly.Level nyingine kwa upumbavu.
Rais anayeita mawaziri wake wapumbavu bila kujua kwamba kwa kuwaita mawaziri wake wapumbavu amejiita yeye Rais aliyewateua mpumbavu mkubwa zaidi ni lazima awe level nyingine kwa upumbavu.
Sent from my Kimulimuli
Ukiwa na madawa yeyote ya kulevya una " burn with pop sound" , unatoa black fume insoluble in excess hydrogen sulfide, na harufu yake inakuwa pungent irritating na inajibadilisha kutoka aqueous hadi kuwa black solidFlame test ya mkojo ni ipi mkuu, nataka nipime mwenyewe kabisa kabla sijafika kwa mkemia maana atanilisha matango pori
Hahahahahaaaa, we mkemia ni shidah!Ukiwa na madawa yeyote ya kulevya una " burn with pop sound" , unatoa black fume insoluble in excess hydrogen sulfide, na harufu yake inakuwa pungent irritating na inajibadilisha kutoka aqueous hadi kuwa black solid
Kumbe ndio maana wa kukuru.puka!ukinywa Machozi ya simba lazma wenge!Kama hajajua catalyst ni nini na umuhimu wake si mkemia huyo.
Labda mpika gongo tu.
Ndiyo maana hata jina lake akaitwa Pombe.
Unatoa siri za raisMteja wangu wa samaki mwaka 1983 alikuwa ni mkorofi tu tangiapo so msishangae leo hii