Mkemia katika ubora wake

Mkemia katika ubora wake

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,395
Reaction score
13,273
upload_2017-8-24_10-26-11.jpeg
 
Mteja wangu wa samaki mwaka 1983 alikuwa ni mkorofi tu tangiapo so msishangae leo hii
We muongo sana! Samaki walianza kuvuliwa mwaka wa 1984! Kabla ya hapo walikuwa bado hawajahamia majini kutoka misituni! Bisha!
 
Mkemia asiyejua maana ya dhana za "catalyst" wala "quantitative analysis" katika uchumina siasa nchini.
 
Mkemia asiyejua maana ya dhana za "catalyst" wala "quantitative analysis" katika uchumina siasa nchini.
Yupo awamu ya kwanza na wala huko kwenye quantitative hajafika, yupo kwenye volumetric na tena wala hajaanza kutumia double indicator , sasa hivi anatumia P.O.P pekee watu wanalialia subiri aanze kutumia double indicator na kuanza flame test ndio utamjua mkemia ni nani
 
Kama hajajua catalyst ni nini na umuhimu wake si mkemia huyo.

Labda mpika gongo tu.

Ndiyo maana hata jina lake akaitwa Pombe.
 
Back
Top Bottom