Waliitwa lini mkuu na why wasitangaze public kuwa hakuna usaili?Baada ya uchunguzi wangu Wa kina pamoja na kujaribu kuwatafuta watu waliotwa kwenye interview ya TRA Dodoma .
Leo hii nahitimisha kuwa walioomba TRA na hamjaitwa ushapita hio Interview ilishafanywa zamani na utumishi walichambua very talented in terms of experience and Elimu ndio walioitwa wengine waliona ni jau na lawama kuwaita watu kati hizo nafasi zilishakuwa fixed na intern pamoja na wamchongo.
NB:Tuendelee kula nyama ziko chini
HujachunguzaBaada ya uchunguzi wangu Wa kina pamoja na kujaribu kuwatafuta watu waliotwa kwenye interview ya TRA Dodoma .
Leo hii nahitimisha kuwa walioomba TRA na hamjaitwa ushapita hio Interview ilishafanywa zamani na utumishi walichambua very talented in terms of experience and Elimu ndio walioitwa wengine waliona ni jau na lawama kuwaita watu kati hizo nafasi zilishakuwa fixed na intern pamoja na wamchongo.
NB:Tuendelee kula nyama ziko chini
😄😄 bangi nibangue.Baada ya uchunguzi wangu Wa kina pamoja na kujaribu kuwatafuta watu waliotwa kwenye interview ya TRA Dodoma .
Leo hii nahitimisha kuwa walioomba TRA na hamjaitwa ushapita hio Interview ilishafanywa zamani na utumishi walichambua very talented in terms of experience and Elimu ndio walioitwa wengine waliona ni jau na lawama kuwaita watu kati hizo nafasi zilishakuwa fixed na intern pamoja na wamchongo.
NB:Tuendelee kula nyama ziko chini
Utapotea njia kwa story za humu.Waliitwa lini mkuu na why wasitangaze public kuwa hakuna usaili?
😂😂😂😄😄 bangi nibangue.
Tuma salamu kwa watu watatu.
Utapasuka kichwa hao intern anaowasema walibaki wachache na mwisho wao tarehe 31 mwezi huuWaliitwa lini mkuu na why wasitangaze public kuwa hakuna usaili?
Tangazo gani budaaWalio omba kazi uhamiaji kuna tangazo limetolew ni vyema kulisoma
Kuna mambo tunamalizia
Imeisha hiyoTra kunani palee?
Vuteni subira,shirika la reli (TRC) lenyewe lilitangaza kazi zao tarehe 15/11/2021 Ila wameitwa kwenda kwny interview tarehe 5/2/2022 wkt TRA yenyewe ilitangaza kazi zao mbele ya TRC kwny tarehe 20/11/2021 huko,kaeni kiaskari.Tra kunani palee?
Eh! TRA deadline ilikuwa tarehe 4/11/2021 mzee!Vuteni subira,shirika la reli (TRC) lenyewe lilitangaza kazi zao tarehe 15/11/2021 Ila wameitwa kwenda kwny interview tarehe 5/2/2022 wkt TRA yenyewe ilitangaza kazi zao mbele ya TRC kwny tarehe 20/11/2021 huko,kaeni kiaskari.
Upo sahihi mkuuAjira Portal nao wasanii
Nimeongelea tarehe ya kutoa tangazo na sio deadline.Eh! TRA deadline ilikuwa tarehe 4/11/2021 mzee!
22.10.2021View attachment 20212210451906TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TRA.pdfNimeongelea tarehe ya kutoa tangazo na sio deadline.
.Nimeongelea tarehe ya kutoa tangazo na sio deadline.
Tofauti Ni siku 2.