Mkeka wa Ndugai Unazidi Kutiki

Unajua tatizo kubwa la watanzania kwa sasa ni kujawa na visasi vilivyopitiliza.

Wanaufumbia macho ukweli kisa tu waliguswa na Magufuli sehemu fulani.

Kwa unafiki iliouonyesha CCM hii.

Kwa mtu yeyote makini nchini huwezi kaa kimya bila kuhoji.

Ulipaswa kuhoji toka wakati magufuli anaendesha ukatili hapa nchini. Hilo bunge kibogoyo ni matunda ya utawala wake wa kidhalimu. Sasa unataka nani ahoji huo wizi? Alipokuwa anapiga marufuku mikutano ya vyama vya upinzani uliona anafanya jambo la maana, sasa kaotesha mbegu ya kutokuhojiwa serikali unashangaa uhuni kufanyika.
 
Watanzania wengi mnapenda sana kuongelea watu badala ya hoja.

Ndiyo maana mtu anaweza kuponda mikopo bila hata kukupa figure moja.

Mtu akachukua upande wa Ndugai na kuiponda serikali ya SSH.

Wakati wote ni wasanii tu.
mkuu upo? tumekumiss sana kule intelligence
 
Huwa nashangaa hii Nchi Ina wapumbavu namna hii kama wewe bwana Root !!

Hivi ni UMASIKIN wa Akili, kipato na kutokua na kazi Ndio unaowafanya muwe WANAFIKI namna hii??.

Huwezi wewe Kwa uhuru wako kichwan ukasema katika hili tunakosewa, katika hili Nchi inaumizwa... Nikwamba Huwezi?.

Mkiwa humu ,mnaandika kama watu waloridhika sana, ila deep down ni matope vichwan, Umasikin, na Maisha ya kuunga uunga yalojaa ujanja ujanja kiasi kwamba mmejichokea kwelikweli .

Sio Lazima Uwe Mfuasi wa Hayati Magufuli, ndio macho yako na matope yako kichwan yakuonyeshe kua "Kinachoendelea ni hatari Kwa Taifa hili"

Mpumbavu mkubwa.

Wakati magufuli ananajisi chaguzi za nchi hii, na kutumia ulevi wake wa madaraka kuua upinzani ulikuwa hujui hatari ya kuua wapiga kelele? Sasa hivi mnakimbia matokeo ya siasa za kishenzi zilizopandikizwa hapa nchini na Magufuli. Acha hawa wezi waendelee kupiga chochote watakacho kutokana na ufala wa yule dhalimu kuzuia balance of nature.
 
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.

Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.

Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.

Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.

Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.

Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.

Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani, lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.

Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya, huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.

Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.

Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.
Tena bila kulihusisha bunge letu, ili liridhie kama ni sawa.

Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa mapema iwezekanavyo.

Yangu ni Hayo tu.

commonmwananchi
100101
View attachment 2251020View attachment 2251021View attachment 2251022
mimi nimechokaa, tena najiuliza sana, yanatokea wapii? inanitia mashaka na kuniweka roho juu kwani imani nanyi imenitoka........naota, naota nadanganywa oooh...
 
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.

Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.

Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.

Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.

Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.

Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.

Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani, lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.

Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya, huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.

Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.

Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.
Tena bila kulihusisha bunge letu, ili liridhie kama ni sawa.

Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa mapema iwezekanavyo.

Yangu ni Hayo tu.

commonmwananchi
100101
View attachment 2251020View attachment 2251021View attachment 2251022
Nenda chato kamwambie mpendwa wako
 
Kwa taarifa yako hata huo mswaada wa kuuza wanyama nje ukienda bungeni utapita tu. Wameamua waanze kuuza kisha watapeleka bungeni ili kutimiza matakwa tu kisheria, lakini sio kusubiri ridhaa ya bunge. Ukishakuwa na bunge la majizi ya kura, usitegemee wapinge chochote kinacholetwa na serikali.
Unaongea kitu kizito,kwa bunge lililopo,kwa Unafiki uliopo,kwa Tumbopolitics iliyopo.
Hata hilo bunge kuwepo na kutokuwepo kwake yoote majibu ni sawa tu.

Wengi wameufyata live.
 
Nasikia kwa sasa hakuna mtanzania mwenye hofu ya kuchukuliwa kwenda kuliwa na watu wasiojulikana wala hakuna maiti zinazoopolewa ufukweni zikiwa kwenye viroba vya unga wa azm
 
Unaongea kitu kizito,kwa bunge lililopo,kwa Unafiki uliopo,kwa Tumbopolitics iliyopo.
Hata hilo bunge kuwepo na kutokuwepo kwake yoote majibu ni sawa tu.

Wengi wameufyata live.

Na itatuchukua muda sana kupata watu jasiri wa kuhoji haya mambo. Na vile hawa wapinzani nao sasa wanaingia kwenye maridhiano fake, usitegemee watu wa kuhoji tena. Kibaya zaidi sioni tena box la kura likitoa viongozi sahihi, huku idadi ya wapiga kura ikizidi kupungua.
 
Huwa nashangaa hii Nchi Ina wapumbavu namna hii kama wewe bwana Root !!

Hivi ni UMASIKIN wa Akili, kipato na kutokua na kazi Ndio unaowafanya muwe WANAFIKI namna hii??.

Huwezi wewe Kwa uhuru wako kichwan ukasema katika hili tunakosewa, katika hili Nchi inaumizwa... Nikwamba Huwezi?.

Mkiwa humu ,mnaandika kama watu waloridhika sana, ila deep down ni matope vichwan, Umasikin, na Maisha ya kuunga uunga yalojaa ujanja ujanja kiasi kwamba mmejichokea kwelikweli .

Sio Lazima Uwe Mfuasi wa Hayati Magufuli, ndio macho yako na matope yako kichwan yakuonyeshe kua "Kinachoendelea ni hatari Kwa Taifa hili"

Mpumbavu mkubwa.
Tatizo lenu wasukuma mlikaa kimya pale watu wakiuwawa na kuteswa na wengine kupotea kusikojulikana mpaka leo

Sasa mnadhani mtaongea nini watu wakawaelewa,na kingine CCM ni ile ile yaani ile ya JIWE MAGUFULI ndio hii hii ya SSH
 
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.

Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.

Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.

Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.

Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.

Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.

Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani, lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.

Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya, huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.

Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.

Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.
Tena bila kulihusisha bunge letu, ili liridhie kama ni sawa.

Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa mapema iwezekanavyo.

Yangu ni Hayo tu.

commonmwananchi
100101
View attachment 2251020View attachment 2251021View attachment 2251022
Lakini hebu tujiulize Mhe Ndungai miaka yote aliyokuwa mwanasiasa hakuwahi kujiuliza je ni sahihi Kwenda kinyume na maoni ya Mkuu wa Nchi ?? Nadhani ukiwa Spika ni lazima utakuwa unajua katiba inasema nini kuhusu mamlaka makubwa aliyonayo Mkuu wa Nchi yetu JMT !! Na pia tukumbushane kuwa kwa kupitia katiba hiyo hiyo yeye kama Spika wa bunge letu tukufu alitumia mamlaka aliyopewa kwa mujibu wa katiba kuwaadabisha wale aliona wamekwenda kinyume na taratibu na kanuni za BUNGE alilokuwa akiliongoza !! Waswahili wana msemo wao unasema " mkuki kwa nguruwe , kwa binadamu mchungu" !!! Na wazungu wanasema wanasema what goes around comes around !!
 
Hoja yako ni nzuri sana lakini umetumia lugha Kali sana !!
Wakati magufuli ananajisi chaguzi za nchi hii, na kutumia ulevi wake wa madaraka kuua upinzani ulikuwa hujui hatari ya kuua wapiga kelele? Sasa hivi mnakimbia matokeo ya siasa za kishenzi zilizopandikizwa hapa nchini na Magufuli. Acha hawa wezi waendelee kupiga chochote watakacho kutokana na ufala wa yule dhalimu kuzuia balance of nature.
 
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.

Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.

Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.

Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.

Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.

Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.

Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani, lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.

Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya, huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.

Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.

Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.
Tena bila kulihusisha bunge letu, ili liridhie kama ni sawa.

Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa mapema iwezekanavyo.

Yangu ni Hayo tu.

commonmwananchi
100101
View attachment 2251020View attachment 2251021View attachment 2251022
Tutolee upumbavu hapa hawa waliotuzulumu wavuvi ndio mkeka umetiki nyama kabisa walai
 
hivi tanzania tuna wabunge au tumewahi kweli kuwa na wabunge?
Walikuwepo akina Tuntemeke Sanga, na Akina Njelu Kasaka plus G-55 ilikuwa ni habari nzito japo ilikuwa ni kipindi cha chama kimoja kushika hatamu !!!
 
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.

Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.

Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.

Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.

Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.

Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.

Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani, lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.

Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya, huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.

Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.

Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.
Tena bila kulihusisha bunge letu, ili liridhie kama ni sawa.

Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa mapema iwezekanavyo.

Yangu ni Hayo tu.

commonmwananchi
100101
View attachment 2251020View attachment 2251021View attachment 2251022

Alichoniudhi sana ni pale alipoomba msamaha eti kakosea kwa kile alichosema kwangu mimi amenidisapoint sana ningemwona herro kama angesimamia kutetea kauli yake.
 
Back
Top Bottom