Mkeka wa Ndugai Unazidi Kutiki

Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.

Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.

Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.

Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.

Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.

Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.

Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani, lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.

Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya, huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.

Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.

Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.
Tena bila kulihusisha bunge letu, ili liridhie kama ni sawa.

Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa mapema iwezekanavyo.

Yangu ni Hayo tu.

commonmwananchi
100101
View attachment 2251020View attachment 2251021View attachment 2251022
Mbona uhoji ile 1.5 tn imekwenda wapi
Na kwanini huyo huyo Job unayemtaja kuwa ni msrma ukweli alikataza huo mjadala wa hiyo hela usijadiliwe bungeni?.
 
Ama kweli uongo hujitenga na ukweli.
Pole pole mambo yanajianika yenyewe.
Mpaka 2025 tutajua ipi chuya na upi mchele
 
Na itatuchukua muda sana kupata watu jasiri wa kuhoji haya mambo. Na vile hawa wapinzani nao sasa wanaingia kwenye maridhiano fake, usitegemee watu wa kuhoji tena. Kibaya zaidi sioni tena box la kura likitoa viongozi sahihi, huku idadi ya wapiga kura ikizidi kupungua.
Tatizo ni unafiki wa nchi hii na watu wake.
Watu jasiri wapo ila nao wamekuwa wanafiki.
Kila mmoja anaangalia tumbopolitics tu.

Na kadri mambo ya kuhodhi vyama yanavyoendelea inapelekea kutoibua vipaji vipya sababu vijana wanageuka wabeba mikoba ya vigogo.
 
Lakini hebu tujiulize Mhe Ndungai miaka yote aliyokuwa mwanasiasa hakuwahi kujiuliza je ni sahihi Kwenda kinyume na maoni ya Mkuu wa Nchi ?? Nadhani ukiwa Spika ni lazima utakuwa unajua katiba inasema nini kuhusu mamlaka makubwa aliyonayo Mkuu wa Nchi yetu JMT !! Na pia tukumbushane kuwa kwa kupitia katiba hiyo hiyo yeye kama Spika wa bunge letu tukufu alitumia mamlaka aliyopewa kwa mujibu wa katiba kuwaadabisha wale aliona wamekwenda kinyume na taratibu na kanuni za BUNGE alilokuwa akiliongoza !! Waswahili wana msemo wao unasema " mkuki kwa nguruwe , kwa binadamu mchungu" !!! Na wazungu wanasema wanasema what goes around comes around !!
Hatumtetei @ndugai ila tunaongelea kutimia kwa utabiri wake.
 
Tutolee upumbavu hapa hawa waliotuzulumu wavuvi ndio mkeka umetiki nyama kabisa walai
Wavuvi mna laana ya kuuwa watoto wa samaki ndio maana mnaishia kupigana risasi na wanawake kila mwaka.
RIP Said Oswayo na Swalha Said.
 
Alichoniudhi sana ni pale alipoomba msamaha eti kakosea kwa kile alichosema kwangu mimi amenidisapoint sana ningemwona herro kama angesimamia kutetea kauli yake.
Ni kweli pale alisukumwa na Nguvutumbo zaidi kuliko ubongo!
 
Waliokuwa wanapiga kelele katiba, katiba, sasa hivi ni walamba asali; sahau habari ya katiba.
Katiba ni ya wananchi wote sio ya kakikundi Fulani ! Kama tunaona mambo yanaendeshwa ndivyo sivyo kwa sababu ya katiba kuwa imepitwa na wakati basi sote tunahaki ya kuidai ipatikane mpya na kama tunaona inatutosheleza hii hii iliyopo basi hakuna sababu ya watu kuwa wanaishia kutoa utabiri ambao mwisho wa siku huo utabiri unakuwa ndio sababu ya kuliwa kichwa !! ! Siku zote tunaambiwa kwamba Kinga ni bora kuliko tiba !! KINGA YETU NI KATIBA YETU !! Tutafakari !!!
 
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.

Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.

Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.

Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.

Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.

Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.

Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani, lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.

Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya, huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.

Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.

Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.
Tena bila kulihusisha bunge letu, ili liridhie kama ni sawa.

Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa mapema iwezekanavyo.

Yangu ni Hayo tu.

commonmwananchi
100101
View attachment 2251020View attachment 2251021View attachment 2251022
Lazima wakutukane.
Unawatingisha wakati wa kula
 
Kinachotuponza wengi ni tabia ya unafiki,na ndicho kilichomponza Ndugai. Maneno aliyoyaongea hayakuwa na tatizo kabisaa,ni kweli ukopaji wowote usiokuwa wa lazima ni mzigo kwa taifa siku za usoni. Lakini ni huyo huyo aliyesimamia uharibifu mkubwa wa chombo muhimu cha kuidhibiti serikali. Bunge.Ndani ya bunge unapongeza mikopo,halafu kwenye vikao vya uchochoroni vya kikabila unaponda mikopo. Unashindwa kulitumia bunge,unakimbilia vijiwe. Kwa upande wangu, Ndugai ana mchango kwenye huo ufisadi, mnaoulalamikia.
 
Huwa nashangaa hii Nchi Ina wapumbavu namna hii kama wewe bwana Root !!

Hivi ni UMASIKIN wa Akili, kipato na kutokua na kazi Ndio unaowafanya muwe WANAFIKI namna hii??.

Huwezi wewe Kwa uhuru wako kichwan ukasema katika hili tunakosewa, katika hili Nchi inaumizwa... Nikwamba Huwezi?.

Mkiwa humu ,mnaandika kama watu waloridhika sana, ila deep down ni matope vichwan, Umasikin, na Maisha ya kuunga uunga yalojaa ujanja ujanja kiasi kwamba mmejichokea kwelikweli .

Sio Lazima Uwe Mfuasi wa Hayati Magufuli, ndio macho yako na matope yako kichwan yakuonyeshe kua "Kinachoendelea ni hatari Kwa Taifa hili"

Mpumbavu mkubwa.
Tena MPUMBAVU HASWA huyu Root
 
Back
Top Bottom