Sijui chanzo Cha ugomvi wa Lowassa na Mzee wa Msoga ila dogo hakufaa kwa hiyo nafasi. Nahisi kuna sehemu either Mzee hakumtengeneza vizuri au stress za Mzee kuumwa, mkwe kufungwa kulimchangaya.Hata kumtenga mzee wa Musoga kipindi cha msiba,yawezekana ni moja ya vitu vilivyochangia
Kama wangetuletea wadogo zake sawa kabisa.