Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 10,602
- 14,830
sawa mkuuWewe ni kamanda kwa maana mpambanaji angle tofauti kwenye maisha.
Ni hivyo tu kamanda Lax😎
sawa mkuuWewe ni kamanda kwa maana mpambanaji angle tofauti kwenye maisha.
Ni hivyo tu kamanda Lax😎
Nasikia kipindi hiki balancing ni katika madiwani tu 😂😂Hapo wengine watatolewa sadaka ili kubalansi wa ACT,CHAUMA na wengineo wapate.
WapiEster Bulaya kapita
Uwezi amini kuna wana CCM awajui kama Arusha Makonda kapita lakini makamanda wote wa hii nchi habari izo wanazo😂🤣We jamaaaaa😆😆😅🤣hi ngoma lazima tuchezee
kapitaaaaaaHoraaay, baba levo
kama wanasema remote ipo msoga -- basi bila shaka upo sahihiHata kumtenga mzee wa Musoga kipindi cha msiba,yawezekana ni moja ya vitu vilivyochangia
Inasemekana HAKUMTENDEA VEMA kipindi cha bhai wake,hivyo DOTS zikaunganishwa na kipindi cha msiba wake yeye kutotajwa kwa namna yoyote ile na familia.Kwamba Kikwete alichangia Lowassa kupata stroke
Kufuatilia wanafuatilia ila HAWAPIGI KURA,kwasababu wanajua kila litendwalo.Uwezi amini kuna wana CCM awajui kama Arusha Makonda kapita lakini makamanda wote wa hii nchi habari izo wanazo😂🤣
😆 😂 😆 sidhani,akina ZZK watalalamika sana pamoja na akina Salum Mwalimu.Nasikia kipindi hiki balancing ni katika madiwani tu 😂😂
Sisi ndio wale tumesahau yooote ya HARAKAHARAKA.Uwezi amini kuna wana CCM awajui kama Arusha Makonda kapita lakini makamanda wote wa hii nchi habari izo wanazo😂🤣
haaa,,😅Sisi ndio wale tumesahau yooote ya HARAKAHARAKA.
Tunatamani agombee hata ubunge kwa ukweli🤣
Mmmh kwani kuna mkataba😆 😂 😆 sidhani,akina ZZK watalalamika sana pamoja na akina Salum Mwalimu.
Huyu ndio spy mnaongea nankupanga unadhani rafiki badae anapiga crosse hatar sana ila february nae hafai hata kidogo yule hana maana kabisaHuyu Nape huenda ni mtu flani mnafiki nafiki sana...
Kuna namna aliwatoroka kina Janu akaenda kuomba msamaha kwa maza...
Zitto hapati kitu,CCM wameshamgeukaBaba Levo anaweza akaambiwa akubali matokeo tu kule Kigoma,amuachie ZZK kulingana na makubaliano yatakayofikwa muda wa kugawana majimbo ili kuleta mseto ndani ya bunge.