Mkeka bado unapumua ?

Mbona jamiicheck wanapinga kuwa huyo mtabiri hakuwahi kusema hayo maneno!
Meta aliniambia kwenye conversation moja kuwa Yamal kashinda golden ball 2026WC πŸ˜‚.
Hii mifumo utendaji wale unategemea zaidi taarifa watumiaji wanazoziweka kwenye hiyo mifumo.
Mkeka wa huyu sheikh janja janja naukumbuka vyema,ni maneno alisema.
 
Aisee.😳😳😳😳😳😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…