Boff bana, sijui kaa ndo kwa doc ila ngoja nikuelekeze, ukitokeza tu barabara ya mfaume toka ile ya mzumbe kunja kushoto kwako kama nyumba ya pili hivi kulia.... Wanauzaga na bia kimtindoKweeeeeeeeeeee
bht ....ile sehemu ulokuwa unasema si palikuwa panaitwa kwa doctor?
Boff bana, sijui kaa ndo kwa doc ila ngoja nikuelekeze, ukitokeza tu barabara ya mfaume toka ile ya mzumbe kunja kushoto kwako kama nyumba ya pili hivi kulia.... Wanauzaga na bia kimtindo
Eeh palitengenezwa...ndio hapo hapo, sasa siku hizi wamepa tengeneza pamekuwa pazuri sana, na kuna mpangaji mpya pale
Boff bana, sijui kaa ndo kwa doc ila ngoja nikuelekeze, ukitokeza tu barabara ya mfaume toka ile ya mzumbe kunja kushoto kwako kama nyumba ya pili hivi kulia.... Wanauzaga na bia kimtindo
Hehheee wee unasoma mzumbe?Hapo ndio palikuwa panaitwa kwa doctor, na mchana sometime naenda lunch, siku hizi pako poa, wameweka mpaka dstv
Weeee wazipiga chini chipsi vumbi pale? Daah...kuna nini sasa?kule ni mbele kidogo.....
sasa hapo unaposema hakuna tena chips vumbi....ndio maana nikawa confused
Hahahaa Boflo bana...sasa hivi kuna menu ya uhakika, na pombe wanauza pia
na masister du wanaweka mingo pale
....wapi nyani ngabu mpenda gillete....bwahahahaha
Domo mbele kama mbuzi,kakomaa sana,nywela za bandia nani anataka?
View attachment 50846boffffffffffffffffff
huyo ndio mmewe muzngu mwenyewe? basi kazi ipo...atakuwa anatumia mandao huyu bila shaka
huyo c mmewe, hyo ni Ally Remtulla, mbunifu wa mavazi