Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

In return for a ginormous bear hug
Sasa bwana ni hivi. Hell hath no fury like a woman scorned
Its possible that the guy in question has cheated on his wife (the culprit) time and again and she is paying him back in kind. Oh I would!
 
Msamehe 7 x 70. Ndio maagizo ya kiimani.
Next time muambie atongoze hausiboi ama mlinzi ili owe inhouse

7x70 kwa siku ina-apply pale tu muhusika anaporudi na kuomba msamaha mara hizo zote vilevile kwa kufanya kosa hilo
 
Sasa bwana ni hivi. Hell hath no fury like a woman scorned
Its possible that the guy in question has cheated on his wife (the culprit) time and again and she is paying him back in kind. Oh I would!

When a woman is fed up, huh?

Would you really do that just to get back at your husband?

That's rather fiendish...
 
Maybe I would but why bother getting back at him while I can simply walk out and move on with life?
 
Huyo atakakuwa analipiza kisasi, anayoyafanya yote ni marudio ulishamfanyia, mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ..................,
 
Yamenitokea kweli wadau Mke wangu wa ndoa aliingiza mwanaume ndani ya nyumba na kulala nae mpaka asubuhi kwakati me nk safari kibiashara adhabu yake ni nini? Hii ni pamoja kuvuluga mtaa yaani ametembea na marafiki zangu

Pole buda. Mwanaume ni kujikaza. Before taking any action, jaribu sana kutafuta kiini ama sababu zilizompelekea kutenda kitendo ka hicho. Labda ni wewe humtoshelezi kimapenzi. Au labda ilikuwa retaliatory attack, iwe ulikuwa ushafanya hivo nawe sasa ataka kulipiza .Good luck
 
Chunguza chanzo cha yeye kufanya hvyo,kama unahisi hatobadirika bora umpe talaka tena fasta

samahani mkuu hebu tuache kuendekeza ujinga.mtu akishakuwa mme/mke wa mtu haitaji sababu yoyote ya kucheat.alishakubaliana na yote na kuona ile ndo size yake ndo maana akafunga ndoa sasa kuna haja gani ya jamaa kuchunguza?
 
Nikisema huku ni full ma stress watu hawanielewi. Jukwaa la siasa ni kelele tu lakini hakuna stress.

Sasa hii kama si kutiana stress asubuhi-asubuhi ni nini?

Ngoja nirudi kwenye mada;

Kwanza nataka kujuwa huyo ni mkeo wa ndoa ya kihalali? au ni mwanamke tu unaishi nae na mnasingizia kuwa ni mke na mume, maana siku hizi neno mke au mume linatumika kiholela tu.

Nijibu hilo kabla sijakupa ushauri.

ni mke wng halali wa ndoa tena ya kikristo ndoa ina miaka 6 sasa
 
Pole buda. Mwanaume ni kujikaza. Before taking any action, jaribu sana kutafuta kiini ama sababu zilizompelekea kutenda kitendo ka hicho. Labda ni wewe humtoshelezi kimapenzi. Au labda ilikuwa retaliatory attack, iwe ulikuwa ushafanya hivo nawe sasa ataka kulipiza .Good luck

ok kaka
 
Cha ajabu yeye anakataa ila anasema pamoja na kuwambia hizo naomba msamaha wakati tunaendelea na vikao na wazazi wangu wazazi wangu wakagundua kitu fasta kuwa mawasiliano yameamia kwa mdogo wake ambaye yeye alikuwa anasimamia usuruhishi kwavile lawama zitaenda kwake maana yeye ni ameshindikana

mwisho wa siku nimeondoa kwenye nyumba na yeye nimemrudisha pale nyumbani, ila sijamwambia kama nimemsamehe ila kuukweli ndy nimebwaga maana niliyoleza hapa ni nusu tu alichonifanyia january mtoto anakwenda bording maana hana hata sifa kukaa na mtoto wng kama km alikuwa anaenda disco mtoto anapeleka kwajirani basi ndy hayo wadau nimependa michango yenu asanteni sana mungu awabariki sana
 
Back
Top Bottom