Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

Uyo Shem wetu kakusaliti simply because humkuni....usitafute mchawi. Mchawi ni wewe mwenyewe! Apo dawa yake na wewe uingize mwanamke ndani
 
Mpe pongezi! Natumaini uamuzi unai ww mwenyewe, ukituuliza sisi tunakupa ushauri wa kumpongeza km hutajali.
 
kaziii unayoo unastahiliii kuwaa na uvumiilivuu wa halii yaa juu amaa cvyoooo utakufaa kwaa stress kk
 
Mkuu usimwache wala nini,ili kupunguza maumivu fanya yafuatayo:
1.Hakikisha kwa vyovyote unamgonga mdogo wake huyo wa kike,gonga mpaka na kabang kabisa,halafu ifanye kama nyumba ndogo kabisa mradi wife asishtukie mchezo unaoendelea.
2.Kama mama yake mzazi yupo tumia hela naye mgonge
3.Tafuta mashosti zake nao wagonge,ili wao nao wawe wanamsanifu kama marafiki zako walivyokuwa wanakusanifu wewe.

Duuuuuuhhh!?? Hiyo sasa kiboko
 
Huyo m'mke hakufai!

Hizo meseji umeprintiwa na nani, wapi? // sidhani kama kampuni ya simu wamekuprintia bila kuwa na jalada kutoka mahakamani!

kaka sijawahi kama ningekuwa mchafu ningeanza na mdogo wake maana nimemkwepa sana, na mtaani nina heshima kubwa lakni kwa sasa nimevuliwa nguo kabisa

rafiki mmoja ambaye amekili kwa mke wake na kujutia hili anajisikia vibaya ambaye nae mke wake na mke wangu walikuwa kifanya wote umalaya ila mke wangu amemzidi ujanja na kutembea na mume wake ndy ikabidi amwage ukweli mtupu ambayo meseji ambazo nilizozikamata zimezilisha mke wangu ni mchafu

sidhani kama hili lina ukweli kaka maana ametembea na wanaume sita kwa muda mfupi sana so amekusudia huyu

hata kama ningekuwa na kasoro ya aina gani ivi guest zimejaa mpaka utembee na marafiki zangu

Hatua nilizochukuwa nimkurejesha kwao
meseji nilizoprintiwa kwenye mtandao ambao alikuwa akitumia hafai hata chembe kuwa mke wa mtu ni meseji chafu sana alikuwa anachat na wanaume wanne kwa meseji za mapenzi kwa wakati mmoja NAMSHUKURU MUNGU SIKUFANYA MAUWAJI ila kwa sms hizi hali ni mbaya sana huyu ni shetani mkubwa


asanteni wadau nimependa ushauri wenu na tauchukuwa unaonifaa tu

Yamenitokea kweli wadau Mke wangu wa ndoa aliingiza mwanaume ndani ya nyumba na kulala nae mpaka asubuhi kwakati me nk safari kibiashara adhabu yake ni nini? Hii ni pamoja kuvuluga mtaa yaani ametembea na marafiki zangu
 
Yamenitokea kweli wadau Mke wangu wa ndoa aliingiza mwanaume ndani ya nyumba na kulala nae mpaka asubuhi kwakati me nk safari kibiashara adhabu yake ni nini? Hii ni pamoja kuvuluga mtaa yaani ametembea na marafiki zangu

Je unaushahidi wa kweli kwa unachokiongea kma unao bac ni kumsamehe au kumuacha mojakwa moja ili kuepusha mambo mengine
 
Back
Top Bottom