- Thread starter
- #21
Haiwezekani kwa mwanamke kutenda hayo kama mwanaume huna tatizo. Ni bora ukajichunguza kwanza kama kibamia kinasimama na kama hakisimami jifanye huoni ili maisha yaendelee maana nayeye ni binadamu na kwako hakufuata kaka bali kibamia. Kama ni kaka alikuwa nao kwao.
sidhani kama hili lina ukweli kaka maana ametembea na wanaume sita kwa muda mfupi sana so amekusudia huyu