Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

Haiwezekani kwa mwanamke kutenda hayo kama mwanaume huna tatizo. Ni bora ukajichunguza kwanza kama kibamia kinasimama na kama hakisimami jifanye huoni ili maisha yaendelee maana nayeye ni binadamu na kwako hakufuata kaka bali kibamia. Kama ni kaka alikuwa nao kwao.

sidhani kama hili lina ukweli kaka maana ametembea na wanaume sita kwa muda mfupi sana so amekusudia huyu
 
Yamenitokea kweli wadau Mke wangu wa ndoa aliingiza mwanaume ndani ya nyumba na kulala nae mpaka asubuhi kwakati me nk safari kibiashara adhabu yake ni nini? Hii ni pamoja kuvuluga mtaa yaani ametembea na marafiki zangu

I am not sure kama una vithibitisho, kwasbabu women are very smart when they cheart (i give them credit for this), and you will be the last one to know, after everyone else amejua... however, if you are 100% sure then my advice to you is - Men quench their desire physically, women quench theirs emotionally.... HUna chako hapo, hakuna ndoa tena

chagua kuwa dume ----- for the rest of your life au refresh you life
 
kumsamehe sio tatizo ni kwamba nina uwakika mambo haya yatajirudia tu kwani ana mdogo wake wa kike huyo ameshikana so think ndy hulika yao

chukua hatua, fanya maamuzi magumu, chambua ushauri wa JF pia changanya na zako!
 
Mpaka mwanamke anafanya hivyo ujue wewe una tatizo.
we unaakili timamu? kwahiyo hata kama mwanaume ana matatizo ndo utembee na mtaa mzima including friends wa mume? hata kiafya ni sawa hii? kimaadili je?
 
I am not sure kama una vithibitisho, kwasbabu women are very smart when they cheart (i give them credit for this), and you will be the last one to know, after everyone else amejua... however, if you are 100% sure then my advice to you is - Men quench their desire physically, women quench theirs emotionally.... HUna chako hapo, hakuna ndoa tena

chagua kuwa dume ----- for the rest of your life au refresh you life

i gotch u my bro!
 
we unaakili timamu? kwahiyo hata kama mwanaume ana matatizo ndo utembee na mtaa mzima including friends wa mume? hata kiafya ni sawa hii? kimaadili je?

hata kama ningekuwa na kasoro ya aina gani ivi guest zimejaa mpaka utembee na marafiki zangu
 
Yamenitokea kweli wadau Mke wangu wa ndoa aliingiza mwanaume ndani ya nyumba na kulala nae mpaka asubuhi kwakati me nk safari kibiashara adhabu yake ni nini? Hii ni pamoja kuvuluga mtaa yaani ametembea na marafiki zangu
Hayatuhusu. This is your private business
 
Yamenitokea kweli wadau Mke wangu wa ndoa aliingiza mwanaume ndani ya nyumba na kulala nae mpaka asubuhi kwakati me nk safari kibiashara adhabu yake ni nini? Hii ni pamoja kuvuluga mtaa yaani ametembea na marafiki zangu

ni rahisi sana kama umemkata basi mpeleke kwenye vyombo vya sheria muachane kiroho safi yaani kukonda mademu wapo robo tatu ya population yetu..
 
Hatua nilizochukuwa nimkurejesha kwao
meseji nilizoprintiwa kwenye mtandao ambao alikuwa akitumia hafai hata chembe kuwa mke wa mtu ni meseji chafu sana alikuwa anachat na wanaume wanne kwa meseji za mapenzi kwa wakati mmoja NAMSHUKURU MUNGU SIKUFANYA MAUWAJI ila kwa sms hizi hali ni mbaya sana huyu ni shetani mkubwa

asanteni wadau nimependa ushauri wenu na tauchukuwa unaonifaa tu
 
Maradhi yako mengi,kama unajipenda toa talaka songa mbele.Huyo hawez badilika kaka utakuuwa! Chukua hatua.
 
Nikisema huku ni full ma stress watu hawanielewi. Jukwaa la siasa ni kelele tu lakini hakuna stress.

Sasa hii kama si kutiana stress asubuhi-asubuhi ni nini?

Ngoja nirudi kwenye mada;

Kwanza nataka kujuwa huyo ni mkeo wa ndoa ya kihalali? au ni mwanamke tu unaishi nae na mnasingizia kuwa ni mke na mume, maana siku hizi neno mke au mume linatumika kiholela tu.

Nijibu hilo kabla sijakupa ushauri.

kweri FaizaFoxy turudi siasani tukatimblishane kule alf nimekumiss uje siku 3 leo hujataka kushtaki kwa Invisible
 
Last edited by a moderator:
ni maneno ya kuambiwa au umemfumania live, hakikisha una ushahidi wa kutosha kabla hujatoa adhabu prove it that she is guilty
 
Mkuu usimwache wala nini,ili kupunguza maumivu fanya yafuatayo:
1.Hakikisha kwa vyovyote unamgonga mdogo wake huyo wa kike,gonga mpaka na kabang kabisa,halafu ifanye kama nyumba ndogo kabisa mradi wife asishtukie mchezo unaoendelea.
2.Kama mama yake mzazi yupo tumia hela naye mgonge
3.Tafuta mashosti zake nao wagonge,ili wao nao wawe wanamsanifu kama marafiki zako walivyokuwa wanakusanifu wewe.
 
Yamenitokea kweli wadau Mke wangu wa ndoa aliingiza mwanaume ndani ya nyumba na kulala nae mpaka asubuhi kwakati me nk safari kibiashara adhabu yake ni nini? Hii ni pamoja kuvuluga mtaa yaani ametembea na marafiki zangu

Ndoa za siku hizi ni majanga matupu,watu wamekuwa wasanii sanii tu halafu kulia lia ndio umekuwa mtindo,
Endeleeni na ndoa zenu.
 
Back
Top Bottom