Asante lwitiko niko tayari kumsameheNdugu yangu kila binadam anamapungufu isipo kua yanatofautiana. Nikweli alifanya makosa kuto kukuambia mapema lkn labda aliogopa kukupoteza akidhan kua utamwacha, lkn pia kama mambo mengine yupo safi usifuache utaja juta ww kwahil la kuto kukuambia msamehe but kama kuna mengine zaid ya hilo fanya maamuzi magum.
ASANTE dada ENNIE ila yote yanawezekana kama tu nia yake ilikuwa njema kwanguVijiti vinatumika sana tu kuzuia ujauzito,cha msingi hakikisha hiyo miaka mi3 inatimia kama alivyoshauriwa ndio vikatolewe.
Kama inawezekana nendeni pamoja mkapewe elimu ya uzazi wa mpango na hasa hiyo njia ya vijiti ambayo mkeo ameitumia,maswali yako yote yatajibiwa vizuri huko.
Kukuficha pia usimlaumu sana,inawezekana alihofu kuwa usingejisikia vizuri kujua ali conceive akiwa shule na katika umri mdogo.
Msamehe na muendelee na maisha
ASANTE dada ENNIE ila yote yanawezekana kama tu nia yake ilikuwa njema kwangu
Hapa kuna mengi unataka tukushauri. Nakuambia hivi, Mke si shamba useme maadamu nimepanda mbegu pale lazima nitavuna tu. Maajabu ya Mungu ni kuwa, wale wanao mtafuta mtoto kwa bidii na nguvu zote, hawapati ila wale wasomtaka kabisa ndio wanampata hata kwa zile dakika 10 tu za kiwimawima. Hayo tumwachie Mungu.
Sasa, sijui kama ulimwambia mkeo kuwa unataka mtoto kwa udi na uvumba. Naamini angekuambia tulia tu muda ukifika mtoto atakupa. Hilo ndio jibu sawia. Hakujua kuwa ukienda kwao unaenda kujadili na mamkwe wako ati mimi namwekea mbegu mwanao lakini hazipandi. Angelilijua hilo asinge kupeleka kwao ukayasikie hayo.
Jambo jingine nataka ujue, sio kwamba mama mkwe wako hakutaka ujue siri hiyo ya kutokumpata mtoto. Aliipanga rasmi kabisa ili upaparike, ukasirike umwachie mwanaye. Akafanikiwa. Mission accomplished.
Si ajabu, Malawi saa hii wanakula fungate
Haya mavitu wife wangu nishamkaza manake alivyojifungua 1st born alishauriwa na manesi after 3 months akapandikizwe nimekatazaa asilani...sitaki hata kusikisia...side effect zake ni kubwa mno...!! Tunatumia Calendar tu ndio mpango mzima
Ur right and we are doing right thing...Ni kweli kaka kuna maside effect sana..lakini calendar nayo inabidi uwe na discpline ukifanya mchezo mbona mtazaa sana...
Huu ni ubinafsi wa kiume. Je wangapi wamepewa mimba na wakaachwa solemba? Lazima tuwe na huruma kwa hawa bidhaa adimu wanaotufanya tuipende dunia hii. Bila wao dunia ni chungu ajabu.vijana wa siku hizi unaoaje mwanamke bila kushika mimba ...hakikisha imenasa ndio unaanza mchakato mm kayayi nlimpa kitu kwanza ndio taratibu zinanza k zinavyovurugwa mjini hapa risk ya loss ni kubwa piga mtu mimba tulia ikue kwanza ..nimeshuhudia malalamiko mengi sana kwa wenza wasio na watoto baada ya mbwembwe za ndoa piga mimba kwanza ndio uoe .
mkuu mayombo kwenye mkono kuna mahusiano gani na viungo vya uzazi
mangatara kuishi pamoja na mwenza wako pamoja bila mtoto wakati uwezo mnao? ila niko mbioni kumfuata