Mke wangu unapeleka wapi hela?

Mke wangu unapeleka wapi hela?

Mwambie ukweli wa hali yako
Zikija tena kumbuka kuwekeza lau kajimradi fulani
Pigana kamanda utafanikiwa
 
mhhh nikupe mdogo wangu????
Una kabati la mbeho?
Una master card
una credit card
ngombe wa malela
kabati ya picha
ila wewe unapenda kuchinguza chunguza sana naweza kuletea mke mwema ukazingua

Hivyo vyote vipo na vingine vingi vipo njiani...

Hahahah kuhusu kuchunguza nimefundishwa tangu mtoto ila kama hana kilichojificha wasiwasi wa nini shemeji Nivea?? i like the sound of that..heheh..shem...:yo:
 
Last edited by a moderator:
Yaani mama watoto wako hajui kusoma alama za nyakati
Mpe Salary slip aanze kupanga bajeti ya family
Life ni kupanda na kushuka inabidi kuvumiliana
 
Kichwa cha habari kimenizingua! Mimi nilifikiri unamuuliza mkeo kuwa anapeleka pesa wapi?? Badala yake imekuwa kinyume!! Ok, napita njia tu wakuu,,
 
Hivyo vyote vipo na vingine vingi vipo njiani...

Hahahah kuhusu kuchunguza nimefundishwa tangu mtoto ila kama hana kilichojificha wasiwasi wa nini shemeji Nivea?? i like the sound of that..heheh..shem...:yo:
naona ushajimilikisha mapeeeema aise unaanza niita shemu hat ngombe mwenyewe hujamwona????anza kunilipa mahari taratiiibu akimaliza chuo nakupa tu.
 
Mentor unapiga promo kiufundi, angalia PM watakavyotiririka.
Do i need say more!??
Bujibuji, huu ni wakati wako kuinvest. Usitegemee mshahara wako.

Na hii ni principle yangu:
- Mshahara wangu ni capital yangu tu. Sijui unatoka lini wala sijali hata ukichelewa. Nimeshautumia vyema kuwekeza na vitega uchumi vyangu hivyo ndo vinanilisha na kunitunza.

Damn am ready to marry, tatizo wa kumuoa sasa...!!!:A S 39:
 
Last edited by a moderator:
naona ushajimilikisha mapeeeema aise unaanza niita shemu hat ngombe mwenyewe hujamwona????anza kunilipa mahari taratiiibu akimaliza chuo nakupa tu.

haaa siku hizi watu wanamaliza chuo na kuolewa apo apo bana...sitaki kumkosa huyu!!

Shem ka vp baadaye tukutane pale konokono pub nkugee first installment kabisa!
 
Jamani,
kamshahara hakanitoshi, nashindwa kumpigisha pamaba za uhakika mama watoto, nashindwa kuipeleka familia vacation, nashindwa kufanya maendeleo.
Mke wangu anauliza hela zinaenda wapi sina jibu.
Zamani nilikuwa idara ambayo ina namna za kupata hela, huku niliko sasa ni kukame na hamna kitu.
Jamani nifanyeje ili niweze kuishi mwenzenu?

Mfungulie biashara hata ya Genge ili naye awe anawahi kuamka kwenda kuchukua bidhaa sokoni ndio atajua kuwa pesa ni ngumu kutafutwa lakini rahisi kutumia.
 
duh bila hela ya kutosha familia lazima isambaratike. mweleze ukweli kwamba kwa sasa umechacha sio kama zamani
 
Mkuu Bujibuji unakipaji zaidi ya muhogo mchungu kama unaweza kuchanga karata zako vema na hiyo talent uliyonayo hakika uwezi tegemea kusoma kwenye salary slip zimebak ngapi mwisho wa mwezi....hebu fatilia mutu inaitwa basket mouth uone inafanya nini kumeki mshiko,u can do the same mkuu...Uchumi unao ujue..ohhh.
 
Last edited by a moderator:
mpe mshahara wa mwezi mmoja aupigie bajeti kama mama'ke Ben Carson,halafu akupe majibu,halafunaww karne hii bado unategemea mshahara wa mwisho wa mwezi loh hebu anza kuwekeza kwenye miradi itakayokuwezesha kuishi hapo baadae kuna leo na kesho.
Hapo anatakiwa mwanamke strong au yule ambaye hawezi kukimbia, vinginevyo ni kujitafutia matatizo. Baadhi ya wanawake hawatakiwi kujua mshahara wa mwenza ni kiasi gani na pia hawatakiwi kuwa na akaunti ya pamoja na mwenza kwa sababu wakiona kwenye akaunti hakuna kitu wanaanza vituko.
Ni bora kama sina nijifanye namnyima tu hela, na mikwara mingii "unataka hela ya nini, hicho sio muhimu na sikupi sasa!!", kumbe mimi sina hela.
 
bora usimpe ndoa itavunjika bure
mpe mshahara wa mwezi mmoja aupigie bajeti kama mama'ke Ben Carson,halafu akupe majibu,halafunaww karne hii bado unategemea mshahara wa mwisho wa mwezi loh hebu anza kuwekeza kwenye miradi itakayokuwezesha kuishi hapo baadae kuna leo na kesho.
 
Bujibuji
hili ndilo tatizo la kutegemea fedha za bakishishi,
laiti ungeamua kuwa na mradi wako hata kama wa M-PESA ungekuwa na uhakika wa kuingiza kipato cha halali kila siku.

Na nakuambia tu kuwa mshahara hautoshi,
buni mradi wa kuusukuma mwezi.

Back
Top Bottom