Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,987
- 168,517
Jamani,
kamshahara hakanitoshi, nashindwa kumpigisha pamaba za uhakika mama watoto, nashindwa kuipeleka familia vacation, nashindwa kufanya maendeleo.
Mke wangu anauliza hela zinaenda wapi sina jibu.
Zamani nilikuwa idara ambayo ina namna za kupata hela, huku niliko sasa ni kukame na hamna kitu.
Jamani nifanyeje ili niweze kuishi mwenzenu?