Mke wangu tuambiane ukweli

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
MUME:"Nambie ukweli mke wangu,hivi
ushavunja uaminifu wako wa ndoa
mara ngapi?
MKE:"Mara ya kwanza nililala na
mwenye nyumba,sababu alidai kodi
yake"
MUME:"Mmmh...sio mbaya"
MKE:"Mara ya pili ni siku ulipofanyiwa
operation ikawa hakuna pesa ikabidi
nilale na dokta ili utibiwe"
MUME:"Kweli unanijali mke wangu"
MKE:"Mara ya tatu ni ule wakati
ulipokuwa unaomba kura za
ubunge,ikabidi nitembee na wapiga
kura wote ili wakupigie kura! Ndo
maana ukashinda uchaguzi"
.
.
Mume akazimia
 
hizi ndio jokes sasa co watu wanaandika upuuzi ili mradi aonekane kaandika.thnx u made my evening
 
MUME:"Nambie ukweli mke wangu,hivi
ushavunja uaminifu wako wa ndoa
mara ngapi?
MKE:"Mara ya kwanza nililala na
mwenye nyumba,sababu alidai kodi
yake"
MUME:"Mmmh...sio mbaya"
MKE:"Mara ya pili ni siku ulipofanyiwa
operation ikawa hakuna pesa ikabidi
nilale na dokta ili utibiwe"
MUME:"Kweli unanijali mke wangu"
MKE:"Mara ya tatu ni ule wakati
ulipokuwa unaomba kura za
ubunge,ikabidi nitembee na wapiga
kura wote ili wakupigie kura! Ndo
maana ukashinda uchaguzi"
.
.
Mume akazimia

mambo mengine ukiuliza unatafuta headache na presha
 
Ndio maana huwa hata siulizii habari za ma x hawanihusu mie. minikazi tu kwenda mbele nyuma hakunaga. Presure tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom