Mke wangu simuelewi

Mmh mkuu hilo nijipuuu nalo...fanya utafit utagundua kitu
 
Simlaumu mwanamke bali wewe mume wake, ni mdhaifu jua kuwa mwanamke ni mwanasaikolojia mzuri. Amefikia hatua ya kukutamkia hayo baada ya kukusoma na kufahamu madhaifu yako.
Mwanamke anathubutu kukugusia kuhusu ex wake?! Aisee!
 
Unatuaibisha, ww ni mwanaume Fanya maamuzi ya kiume. Anataka aachana na ex hatak aachane na ww.Unadhan mtu wa tabia hizo Kama hatak kubadilika utaishi nae Kama mzigo mpaka unazeeka. Ww ni baba kiAfrika ni final sayer wa nyumba.
 
Wake up. Unagongewa kibaba Lol. Kila akikumbuka mikito ya zamani anaona aisee hapana....tehe
 
Acha ubwege wewe piga chini hiyo muntu chukua kitu ingine mpyaa!!"
 
Mleta mada shetani nae ana nguvu, Na hata sasa kishachukua nafasi yako, Funga Na kuomba kwa kuvaa magunia, utapata njia
 
Hapo kiongozi unagongewa..... Ya kale hayanuki..


Mwanamke asiyekusikiliza unachomueleza piga chini .... Mtaani wanawake wapo wengi wanaohitaji kuolewa.


Kama unataka kuishi na stress endelea tu.
 
Dah story yako inatia hasira. Nakushauri ndoa ni wewe na yeye .mwambie achague moja. Aendelee naye kwakua ndugu wanamjua. Au wewe ambaye ndugu hawakujui. Pia chukua namba ya huyo ex wake, mpige marufuku. Aachane na mkeo . to be Straight unaibiwa.
Mwanamke mzinzi kihivyo ukimvumilia anaweza hata kukutoa Roho, kwa ushauri wa ex wake.
 
Ndugu yangu..hakuna ndoa hapo. Muda wa kuchukua maamuzi magumu ni sasa la sivyo hapo baadae utajuta kupoteza muda na mwenzi wako.
 
Mke wako anapowasiliana na kusisitiza kuendelea kuwasiliana na Ex wake anakukosea heshima tu period. Yaani hiyo ndoa haina maisha marefu sana
 
Hivi wewe mtos mada una umri gani? Huoni kwamba uliharakisha kumuoa wakati yeye hajaamua kuolewa kwa sababu umesema ugomvi ulikuwepo hata kabla ya kuoana! Naamini ugomvi huu ni kwasababu ya ma-ex wake ambao bado hataki kuwaacha, anaendelea kuhusiana nao. Chagua kusuka ama kung'oa.
 
Acha kulalamika.Wewe mwanaume fanya maamuzi ya kiume.Hata kama kakuzid kipato basi si angejioa mwenyewe ina maana anakuhitaji.Mwambie hakuna mawasiliano na Xs na mkopo hakuna.Acha ungese asikutawale.

Vijana wa siku hizi wanawaiga mama zao na wasichana wanawaiga babazao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…