mhangwa nyanda
New Member
- Nov 12, 2015
- 1
- 2
Hivi ex ni simba? Ukimuona kimbia?
Je wanamahusiano ya kimapenzi na hao ex??
Mpendwa, hebu acha masihara. Kuna umuhimu gani wa kuwasiliana/kuwa karibu na ex, tena hapa ni exes kabisa?
If she's willing to put her marriage in danger to help the ex, then suala la kukumbushia huitaji jury for conviction.
Be serious Mpendwa. 12 times outta 10 hakuna jema litakalotokea kwa kuwa na mawasiliano/ukaribu na ex/exes (unless mna mtoto).Hahahapendwa mbona mnafanya maisha kuwa magumu?????
Hao ni ex tu...kiufipi wanakuwa binadamu kama binadamu wengine hawana uspecial..... haswa kama hawakuachana kwa mabifu
Kusaidiana binadamu ni kawaida.
Mawasiliano ya mara moja moja kama binadamu sio big deal
Unless kama mawasiliano 24/7 hapo awe na mashaka na achunguze ni story gani zinazopigwa...... lakini kama ni mara 2-3 kwa mwaka...... haina shida bana
Pole sanna muulize kipi kinacho msibu kuliko kufoka tu..Ndugu wana jF mm ni kijana mwenye mke na nnamtoto kwa sasa, nilianza mahusiano na mke wangu akiwa ndo amemaliza chuo, maisha yaliendelea ila ugomvi wa hapa na pale kwenye Mahusiano yetu umekuwa wakawaida hadi tumeoana, tatizo kubwa lililokuwa linatugombanisha ni Mahusiano yake ya nyuma na watu wake(ex-boyfriends)kuwa alikuwa ana penda sana kuwasiliana nao, nilipo gundua nilimkataza nae akadai hamna chochote kinacho endelea rofauti na urafiki.tumeishi hivyo kwa muda hadi sasa ni mwaka mke wangu amekuwa mwajiriwa selikarini-leo hii nimeingia kwenye ugomvi baada ya wife kunifuata na kuniambia ex-wake flani anashida anaomba amkope wife hela. Mm alipo niambia nikawaka sababu tabia ya mawasiliano na ma-ex nilisha mkataza, ila Leo kaniambia hawezi acha kumsaidia kwani kwake huyo mtu ameshakuwa ni kama ndugu kwani hata ndugu zake wana mfahamu na na anawasiliana nao wote, hivyo mm siwezi kumzuia kumusaidia na hato acha kuwasiliana nae. Je mm nifanyeje? Wife ana haki ya kufanya hivyo au hili ni tatizo?
Ndugu wana jF mm ni kijana mwenye mke na nnamtoto kwa sasa, nilianza mahusiano na mke wangu akiwa ndo amemaliza chuo, maisha yaliendelea ila ugomvi wa hapa na pale kwenye Mahusiano yetu umekuwa wakawaida hadi tumeoana, tatizo kubwa lililokuwa linatugombanisha ni Mahusiano yake ya nyuma na watu wake(ex-boyfriends)kuwa alikuwa ana penda sana kuwasiliana nao, nilipo gundua nilimkataza nae akadai hamna chochote kinacho endelea rofauti na urafiki.tumeishi hivyo kwa muda hadi sasa ni mwaka mke wangu amekuwa mwajiriwa selikarini-leo hii nimeingia kwenye ugomvi baada ya wife kunifuata na kuniambia ex-wake flani anashida anaomba amkope wife hela. Mm alipo niambia nikawaka sababu tabia ya mawasiliano na ma-ex nilisha mkataza, ila Leo kaniambia hawezi acha kumsaidia kwani kwake huyo mtu ameshakuwa ni kama ndugu kwani hata ndugu zake wana mfahamu na na anawasiliana nao wote, hivyo mm siwezi kumzuia kumusaidia na hato acha kuwasiliana nae. Je mm nifanyeje? Wife ana haki ya kufanya hivyo au hili ni tatizo?