Mke wangu simuelewi

Mke wangu simuelewi

mhangwa nyanda

New Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
1
Reaction score
2
Ndugu wana JF,

Mimi ni kijana mwenye mke na nnamtoto kwa sasa, nilianza mahusiano na mke wangu akiwa ndo amemaliza chuo, maisha yaliendelea ila ugomvi wa hapa na pale kwenye Mahusiano yetu umekuwa wakawaida hadi tumeoana.

Tatizo kubwa lililokuwa linatugombanisha ni mahusiano yake ya nyuma na watu wake(ex-boyfriends)kuwa alikuwa ana penda sana kuwasiliana nao.

Nilipo gundua nilimkataza nae akadai hamna chochote kinacho endelea rofauti na urafiki.

Tumeishi hivyo kwa muda hadi sasa ni mwaka mke wangu amekuwa mwajiriwa selikarini-leo hii nimeingia kwenye ugomvi baada ya wife kunifuata na kuniambia ex-wake flani anashida anaomba amkope wife hela.

Mimi alipo niambia nikaweka sababu tabia ya mawasiliano na ma-ex nilisha mkataza, ila Leo kaniambia hawezi acha kumsaidia kwani kwake huyo mtu ameshakuwa ni kama ndugu kwani hata ndugu zake wana mfahamu na na anawasiliana nao wote, hivyo mm siwezi kumzuia kumusaidia na hato acha kuwasiliana nae.

Je mimi nifanyeje? Wife ana haki ya kufanya hivyo au hili ni tatizo?
 
Hivi ex ni simba? Ukimuona kimbia?

Je wanamahusiano ya kimapenzi na hao ex??
 
Seems like she has some baggage from the previous relationships she's refusing to let go. Kama hupendi na umeshamwambia ila hasikii, then na wewe kuwa tu ex muwe marafiki/ndugu.
 
Hivi ex ni simba? Ukimuona kimbia?

Je wanamahusiano ya kimapenzi na hao ex??

Mpendwa, hebu acha masihara. Kuna umuhimu gani wa kuwasiliana/kuwa karibu na ex, tena hapa ni exes kabisa?

If she's willing to put her marriage in danger to help the ex, then suala la kukumbushia huitaji jury for conviction.
 
Hahahapendwa mbona mnafanya maisha kuwa magumu?????

Hao ni ex tu...kiufipi wanakuwa binadamu kama binadamu wengine hawana uspecial..... haswa kama hawakuachana kwa mabifu

Kusaidiana binadamu ni kawaida.
Mawasiliano ya mara moja moja kama binadamu sio big deal

Unless kama mawasiliano 24/7 hapo awe na mashaka na achunguze ni story gani zinazopigwa...... lakini kama ni mara 2-3 kwa mwaka...... haina shida bana

Be serious Mpendwa. 12 times outta 10 hakuna jema litakalotokea kwa kuwa na mawasiliano/ukaribu na ex/exes (unless mna mtoto).

Nadhani Jerry Seinfeld aliwahi kusema kitu kama, exes being friends is like 2 magicians trying to entertain each other (not his exact words). You already know each other's trick.

With an Ex, it didn't work out, for a reason. The next is an upgrade (ex + what ex isn't), unless you got messed up judgement. Being in touch with him/them, ni kumwambia aliyepo kuwa he/she isn't really good enough for you. Sisemi muwe maadui, ila mawasiliano/ukaribu...Hell NO.

Besides, Jamaa kashamwambia hapendi. So huyo mwanamama anakuwa m'binafsi.
 
Heri ni wao wanaooana wakiwa bikra, maana habari za ex zinakuwa hazipo. Na wakidumu kwa uaminifu wanakuwa na uhuru wa kweli.

Huyo mkeo hajui maana ya ndoa, pili hajui namna ya kujenga ndoa yake kwa kuepuka vihatarishi vya kuvunja ndoa.

Hicho pia ni kiburi na kinatokana na ukweli kwamba amesoma na ana mshahara wake mwenyewe. Kwake huyo mkeo suala la kumtii mume ni msamiati.

Lakini kulikuwa na hizi dalili tangu mwanzo, haukufanya vema kuzidharau.
 
Kwa kuwa kesha amua sidhani kama utamzuia. Mwache afanye lakini mwambie kwa uwazi kuwa anafanya bila ridhaa yako. Wewe umekataa.

Cha msingi jitahidi kufuatilia kwa kadri utakavyoweza kujua kama kuna zaidi ya mawasiliano.
 
Ndio shida ya hawa wasomi wanakuwa ex mpaka excess kuanzia shule ya msingi mpaka chuo.
Mwambie hauridhishwi na hali hiyo, na ndoa inaingia hatarini. Kama ana hekima atawaambia hao ex (exipired but still useful) wake.
 
Ndugu wana jF mm ni kijana mwenye mke na nnamtoto kwa sasa, nilianza mahusiano na mke wangu akiwa ndo amemaliza chuo, maisha yaliendelea ila ugomvi wa hapa na pale kwenye Mahusiano yetu umekuwa wakawaida hadi tumeoana, tatizo kubwa lililokuwa linatugombanisha ni Mahusiano yake ya nyuma na watu wake(ex-boyfriends)kuwa alikuwa ana penda sana kuwasiliana nao, nilipo gundua nilimkataza nae akadai hamna chochote kinacho endelea rofauti na urafiki.tumeishi hivyo kwa muda hadi sasa ni mwaka mke wangu amekuwa mwajiriwa selikarini-leo hii nimeingia kwenye ugomvi baada ya wife kunifuata na kuniambia ex-wake flani anashida anaomba amkope wife hela. Mm alipo niambia nikawaka sababu tabia ya mawasiliano na ma-ex nilisha mkataza, ila Leo kaniambia hawezi acha kumsaidia kwani kwake huyo mtu ameshakuwa ni kama ndugu kwani hata ndugu zake wana mfahamu na na anawasiliana nao wote, hivyo mm siwezi kumzuia kumusaidia na hato acha kuwasiliana nae. Je mm nifanyeje? Wife ana haki ya kufanya hivyo au hili ni tatizo?
Pole sanna muulize kipi kinacho msibu kuliko kufoka tu..
 
Hapana usikubali hakikisha mawasiliano yao yanaisha,
Inaonekana wife wako bado anachepuka na ex-boyfriend wake.kitu ambacho ni kibaya kama anawapenda zaidi kuliko wewe si angeolewa nao kwa mini aliwaacha akaja kwako.
Haiwezekani yao wewe umtunze bado tena akuchune apeleke kwa hawala wake.unajua mkeo ni punguani haiingii kichwani mwanamke azushe ugomvi eti umpe hela nitumie hawala wake.
Tunatofautiana maamuzi ila ingekuwa Mimi nampa talaka faster aende kwa hawala wake wakaswampe huko.mke mzinzi sana hiyo,pole broo
 
Hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume ambae siyo dada yako wala ndugu yako. Mwisho wa siku watakumbushiana tu hao. Mkeo anatakiwa ajiheshimu, hayo ni mambo ya kitoto. Je na wewe ukianza kuwasiliana na makoloni yako ya zamani na ukamwambia hakuna kitu, atakuelewa?
 
Nenda kamshtaki kwa wazazi wake, hlf angalia watakujibu vp maana ashasema hata nduguze wanajua kua anawasiliana na huyo ex wake,
Isijekua wafanywa chuma ulete,

Ila kweli mkeo ni kiburi na jeuri ila hiyo ya kuwasiliana na wapenzi na kumsaidia juu, hehehehe ni kubwa kuliko!!
 
Ndugu wana jF mm ni kijana mwenye mke na nnamtoto kwa sasa, nilianza mahusiano na mke wangu akiwa ndo amemaliza chuo, maisha yaliendelea ila ugomvi wa hapa na pale kwenye Mahusiano yetu umekuwa wakawaida hadi tumeoana, tatizo kubwa lililokuwa linatugombanisha ni Mahusiano yake ya nyuma na watu wake(ex-boyfriends)kuwa alikuwa ana penda sana kuwasiliana nao, nilipo gundua nilimkataza nae akadai hamna chochote kinacho endelea rofauti na urafiki.tumeishi hivyo kwa muda hadi sasa ni mwaka mke wangu amekuwa mwajiriwa selikarini-leo hii nimeingia kwenye ugomvi baada ya wife kunifuata na kuniambia ex-wake flani anashida anaomba amkope wife hela. Mm alipo niambia nikawaka sababu tabia ya mawasiliano na ma-ex nilisha mkataza, ila Leo kaniambia hawezi acha kumsaidia kwani kwake huyo mtu ameshakuwa ni kama ndugu kwani hata ndugu zake wana mfahamu na na anawasiliana nao wote, hivyo mm siwezi kumzuia kumusaidia na hato acha kuwasiliana nae. Je mm nifanyeje? Wife ana haki ya kufanya hivyo au hili ni tatizo?

Ex wangu sijaonana nae kwa miaka mingi sana lakini niliongea nae kwenye simu mara moja tu baada ya miaka kama 10 nilikwenda kwao kuwatembelea aliondoka kwasababu alisema hawezi kujizuwia endapo akiniona kwani hisia zake bado zipo moyoni. Na yeye sasa ni mke wa mtu, sijui unaipata picha hapo.
 
Tatizo kubwa na hana heshima.

Ni kama unajuta, ndio maana kuna matatizo mengine ukiona huyawezi mtu unasubiri na kutokimbilia ndoa.

Huyo mkeo unatumia maneno sana anza action kama unataka kumuacha au anza kymdharau usimwambie mambo unayofanya kuwa kama haumtambui ongelea ya mtoto basi uone itakuwaje akikusumbua kuongea wewe kaa kimya. Hata safiri safari isiyokuwrpo nenda tu mahala kapumzike... Kuwa mkiya umsome.

Duh kama ndugu basi kwao wanamjua kwenu mnapeda nini? Wa hivyo huwa wanafata kitu.
 
Back
Top Bottom